Unataka kuagiza nguo kutoka nje

Unataka kuagiza nguo kutoka nje

.....wee sho ga kweli sasa unaniulizia kama nipo Arusha ili iweje uza hiyo vocha ya tigohuko Dar mimi nakwanguwa airtel !!!!

Mbona una quote sana hiyo kauli? We si ulisema upo London imekuaje upo chuga??

Teh teh teh ukiwa mwongo usiwe msahaulifu
 
Mbona una quote sana hiyo kauli? We si ulisema upo London imekuaje upo chuga??

Teh teh teh ukiwa mwongo usiwe msahaulifu

.......washamba utawajuwa tu.....ha ha ha Dunia kijiji !!!!

ndo tabu ya kuwa msukule lumumba...
.

Pittsburgh.jpg
 
Bwana Chabo unajua kila model zin bei yake kutokana na material unaweza chagua ni model zipi ili nimewe kukupigia hesabu
Shukrani Mkuu[/QUO

Gauni za wakubwa ni bei gani(naomba bei ya model yeyote tufanye biashara ndugu)
 
Bhokemsama katika kila picha unayoiona ni model moja kwa hivyo minimum order ni 100 pcs ila kama unataka kutoa order mchanganyiko basi tunaweza kukufanyia ila minimum order ni 100 pcs.Nasema hivi kwa sababu sisi ni kiwanda na ndo maana tuna focus kwenye watu wanaonunua kwa jumla.Natumaini nimefafanua kama kutakuwa na maswali zaidi basi unaweza kuuliza kwa niaba ya wengine
Ungetuambia na bei kabisa tujue
 
Kutokana na dunia kuharibika na matapeli kuwa wengi, hivyo hamna kuaminiana tena. kwa kuwa kampuni yenu ni ngeni utoaji wenu wa huduma haujaeleweka bado mi ningeshauri watu wasikutumie fedha kabla ya mzigo kufika ila fedha ije ilipwe kwa ma-agent wenu baada ya mzigo kufika Tanzania au ma-agent wafungue ofisi na itambulike kisheria kisha anayetaka mzigo akalipie ofisini kwa agent then mzigo utumwe kinyume na hapo watu watakuja lia hapa jamiiforums. KIROHO SAFI
 
Nimependa design yenu nguo nzuri sana. Soon ntakutafta tufanye biashara. Na kama alivyopendekeza mdau hapo juu, dunia imechafuliwa na wachache hivyo maagent wenu mliowaweka hapa dar wawe wa uhakika na waaminifu.
Nice Work!
 
Usijali ndugy yangu nadhani hiyo ndiyo sahii ya kufanya biashara tunalifanyia kazi ni kweli unachokisema kuna wizi mkubwa sana sikufahamu unifahamu wacha tutengeneze mfumo mzuri wa utumaji kwa haraka ili mzigo uchukuliwe kwa maagent
 
Nimependa design yenu nguo nzuri sana. Soon ntakutafta tufanye biashara. Na kama alivyopendekeza mdau hapo juu, dunia imechafuliwa na wachache hivyo maagent wenu mliowaweka hapa dar wawe wa uhakika na waaminifu.
Nice Work!

Nadhani kama mdau alivyopendekeza ni vema mzigo ukafika kwa maagent halafu unakwenda hapo unauhakikisha kila kitu safi ndo unalipa pesa
 
Copy and paste, shallow information ,then take their order then disappear in to a thin air
 
Bhokemsama katika kila picha unayoiona ni model moja kwa hivyo minimum order ni 100 pcs ila kama unataka kutoa order mchanganyiko basi tunaweza kukufanyia ila minimum order ni 100 pcs.Nasema hivi kwa sababu sisi ni kiwanda na ndo maana tuna focus kwenye watu wanaonunua kwa jumla.Natumaini nimefafanua kama kutakuwa na maswali zaidi basi unaweza kuuliza kwa niaba ya wengine
Na nikiagiza mnanitumia mzigo au inabidi nianze mwenyewe kufanya arrangement ya kusafirisha? Ni PM bei zenu tafadhali
 
Kaka fafanua usemi wako

anamaanisha info zako inawezekana umejizivika kama wewe ni muhusika wa hiyo kampuni
watu wakutumie hela usepe nazo, haaminiki m2 sikuhizi
ndo nilivyomuelewa, samahani lakin!
 
anamaanisha info zako inawezekana umejizivika kama wewe ni muhusika wa hiyo kampuni
watu wakutumie hela usepe nazo, haaminiki m2 sikuhizi
ndo nilivyomuelewa, samahani lakin!

ndugu yangu unajua tena uhuru wa kuongea kila mtu anao ni kweli dunia imeharibika hata mimi miaka 4 iliyopita niliagiza tshirt sample China nikatuma pesa mpaka leo sijazipata jambo la msingi tunachofanya ni kuanzisha uhusiano wa kibiashara kama unaweza basi njoo uone tunavyofanya kazi ukiridhika order kama ni vigumu basi t
unaweza kuorganize na agent wetu hapo Dar then unauchukulia mzigo mwenyewe na unaulipia au kama ni vigumu basi tunaweza kuarange ukaagiza nguo moja lets say ina cost mpaka usafiri dola 20 sasa nitakuwa mjinga wa kutupwa niibe dola 20 wakati ningeweza kutengeneza biashara kubwa kama mimi nipo kwenye biashara kwa muda mrefu najua biashara ni nini nimekuwa kwenye law business,badae kwenye rea estate,kwenye printing industry unaweza kucheki website ya kampuni yangu ya printing

Главная - peroprinters.com

Kamautakuwa na maswali basi wasilisha kwa niaba ya watu wengine au tutumie email
info@peroprinters.com
 
ndugu yangu za kiume kwa sasa tuna suti ,boxer pamoja na tshirt tumejikita zaidi kwenye nguo za kike na watoto ila kama una hitaji za kiume basi ndani ya siku nne tunazitengeneza.kiwanda chetu kina watu 280.ndugu kiwanda chetu kipo kiev -ukraine kama utahitaji kutembelea kiwanda basi unaweza kumcheki meneja wetu kwa number hizi hapa +38066 400 46 48 email info@peroprinters.com

nahitaji kujua gharama ya kuagiza tsht hizo ,aina mbili hapo juu zikiwa 50 kwa 50
 
Dress Tipsina
Item Code: 762-0
Composition: 45% - viscose, 50% polyester, 5% elastane
Colour : floral print
Size: 52
Height:164 M

CHARACTERISTIC

Extravagant dress Tipsina in colorful floral print from a pleasant Jersey.

V-neck gracefully highlights the line of the neck and decollate area.

The body of the dress has undercut below the bust line at the assemblies. Sleeve length "3/4", an incredibly practical and comfortable, from the shoulder seductive decorated with insertion of an elegant lace, and on the bottom when assembled into thin cuff. Adjoining the top and flared from waist line to the bottom to create romantic and feminine silhouette. Contrasting the finishing touch models are emphasizing the waistline stylish belt-"sash", decorated with fine lace.

The product without padding.

The length of the product from the waist in all sizes 60 cm

Price-23 USD without transportation(FOB
 
Attachments

  • 762-0_2.jpg
    762-0_2.jpg
    50.5 KB · Views: 107
  • 762-0_3.jpg
    762-0_3.jpg
    122.8 KB · Views: 95
  • 762-0_1.jpg
    762-0_1.jpg
    49.4 KB · Views: 101
Rapunzel kwa sasa Dar hatuna ofisi ila tuna baadadhi ya agents wetu kama utahitaji basi unaweza kukutana nao bila tabu yoyote

Mkuu hao mawakala kwa DAR wanapatikana wapi? Mawacliano yao ni muhimu zaidi.Pia bei kwa pc1 angalau mtu ajue pakuanzia kwa nguo za watt na Mtu mzima Shukrani MKUU,,,!!!
 
Ungetuambia na bei kabisa tujue

Ndugu yangu kwa nguo za watoto bei zetu hizi hapa kwenye catalog-kama kutakuwa na swali basi uliza-bei zetu zipo kwenye FOB ila tunaweza kuarange usafiri kutokana na chaguo la mteja either kwa ndege au kwa meli japo kwa ndege ni gharama kidogo na inachukua siku mbili kwa meli ni cheap lakini utabidi usubiri
 
Attachments

Mkuu hao mawakala kwa DAR wanapatikana wapi? Mawacliano yao ni muhimu zaidi.Pia bei kwa pc1 angalau mtu ajue pakuanzia kwa nguo za watt na Mtu mzima Shukrani MKUU,,,!!!

Ndugu yangu wakala wetu anapatikana hapo Dar pamoja na mbeya pia TINNA MOSHA number yake 0767 55 56 57 mtafute mpange

na bei za nguo za watoto check catalog yetu
 
Ndugu zangu kutokana na uwingi wa design tulizonazo na uwingi wa barua tunazopokea mtuwie radhi kwa kuchelewa kuweka bei tutakuwa .Kwa sasa tunaweka bei za nguo za watoto kwa mwaka huu kwa mwakani tutakuwa na design zingine.Na kuhusiana na wakala wetu hapo Dar na mbeya basi waweza wasiliana kwa numba zake hizi hapa 0767 55 56 57 Anaitwa Tinna Mosha.Kwa mara ya kwanza tunaweza kuruhusu order ndogo ya sample au kama order yako ni kubwa basi unaweza kufuata mzigo mwenyewe kwa mara ya kwanza.

Pili kuhusiana na suala la bei :bei zetu zipo kwenye FOB ila tunaweza kuarange shipping kupitia pertners wetu kutokana na chaguo la mteja either kwa ndege au kwa meli.Kwa ndege inachukua siku mbili ila ni aghali kidogo.6usd kwa kilo moja.

Kwa mawasiliano zaidi ya kibiashara basi usisite kuwasiliana nasi kumbuka kwa mwaka huu design ya nguo za kike tunazo kama 920
 
Back
Top Bottom