Gracious
JF-Expert Member
- Jul 12, 2011
- 1,889
- 1,083
Hizi akili zingine hizi tabu tupu
Hebu muulizeni huyu jamaa,ni nani anaetaka kubadili chochoje hapa?
Wewe unapima akili hapa...Ujue kama hujanielewa inawezekana wewe ndo akili yako ina matatizo....
Ni hivi....Mwanamke atakuwa chini...mwanaume atakuwa juu.....nje ya hapo ni kubadili nyeusi kuwa nyekundu...swallow it