Kichwa na mkia haviwezi kuwa sawa abadani!!! - sikubaliani na wewe kwamba wanawake ni mikia! Mwanaume ni kichwa na mwanamke ni mwili --Tutake radhi kwa hili kutuita mikia
Naturally, mwanaume ni boss of za household na mwanamke ni msaidizi!! - Nakubaliana na wewe ila ni kwa wanaume wanaojielewa si wanaume viuno wa siku hizi wanaotaka kulelewa
MY TAKE!:
Hyo ni management structure nzuri na wala haina mana inamkandamiza yeyte la hasha, na mtakubaliana namim kuwa ndomana ndoa za zamani zilidumu sana kuliko hzi za ki-digitali!!! - Inakua nzuri tu kama kichwa kinajielewa vinginevyo mwanamke atachukua usukani afu uanze kulia unaonewa
Haya yte ni matokeo ya democratization & kuimarika kwa ufalme WA secret society!!-Hizi zimesaidia sana kuwapa wanawake bora
MUNGU HAKUWA MJINGA KUWEKA MWANAUME NA MWANAMKE ambao mamlaka yaliyopo kati yao ndiyo tofauti yao!!
Mfumo WA zamani ni MWAROBAINI WA EVERLASTING MARRIAGE!!!