Unataka ipi, kizamani au kisasa?

Unataka ipi, kizamani au kisasa?

Generalization mkuu, wanafunzi wa chuo tuko poa tu! Ni wapuuzi tu huandika ule mwandiko!




Akili za wanawake haziko stable, wanawaza na kutoa hoja kulingana na mzunguko wao wa kubleed!!!
  • Akibleed na wiki ya kwanza baada ya kubleed anakuwa na akili zake timamu!
  • Wiki inayofata hapo akili inachange na kuwaza kinyume nyume! Teh teh teh!
  • Baada ya hapo akili yake inarudi kuwa normal!
  • Aliwa mjamzito, ndio kabisaaaaa!
...
Apart from that! Wengi wao hawana mitazamo ya mbali! Yaani wanamitazamo ya Jongoo! Hadi wajigonge ndio watambue mbele hakuna njia!
...
Vile vile wanawake wengi wanasumbuliwa mental disorder known as Adjustment disorder!
...
Vile vile ke wengi wanasumbuliwa na ASPD attention seeking personal disorder, hivyo wengi wao hutoa maamuzi kwa kutafuta tu intension kwa hadhira!
...
Wanawake wengi ni Firgners!
...
Wanawake wengi hawawezi kusimama wenyewe! Sometimes mawazo mabovu ya shoga zake inakuwa tatizo ktk ndoa!
...
Nadhani Eiyer tuko pamoja!
Miss neddy kama kunasehem haujaelewa unaweza kugogle!

umeongea kitu kizur kweli....... Nakupa mwanangu umuoe buree bila mahali
 
Generalization mkuu, wanafunzi wa chuo tuko poa tu! Ni wapuuzi tu huandika ule mwandiko!
Nimekusoma mkuu,ila wengi wa huko ndio tabia zao
kili za wanawake haziko stable, wanawaza na kutoa hoja kulingana na mzunguko wao wa kubleed!!!
  • Akibleed na wiki ya kwanza baada ya kubleed anakuwa na akili zake timamu!
  • Wiki inayofata hapo akili inachange na kuwaza kinyume nyume! Teh teh teh!
  • Baada ya hapo akili yake inarudi kuwa normal!
  • Aliwa mjamzito, ndio kabisaaaaa!
... Apart from that! Wengi wao hawana mitazamo ya mbali! Yaani wanamitazamo ya Jongoo! Hadi wajigonge ndio watambue mbele hakuna njia! ... Vile vile wanawake wengi wanasumbuliwa mental disorder known as Adjustment disorder! ... Vile vile ke wengi wanasumbuliwa na ASPD attention seeking personal disorder, hivyo wengi wao hutoa maamuzi kwa kutafuta tu intension kwa hadhira! ... Wanawake wengi ni Firgners! ... Wanawake wengi hawawezi kusimama wenyewe! Sometimes mawazo mabovu ya shoga zake inakuwa tatizo ktk ndoa! ... Nadhani Eiyer tuko pamoja!
Mkuu hii kesi ngoja waje,sijui utajifichia wapi!
 
Usibadili nyeusi kuwa nyekundu bana...Mwanamke ameumbwa kuwa chini ya Mwanaume...Ndio hivyo MUNGU alivyoumba...hakuan haja ya mjadala...WOMEN will always be under men...Full stop
 
Heaven on Earth ni ngumu sana kuwa na say kwa wote maana hamuwezi kuwa na common say lazima migogoro katika ndoa hlyenu itaweka mizizi.

kusikilizana ndio mpango mzimaa...............

we kujifanya mtoa maamuzi kwenye kila kitu sikubalian
 
swali zuri sababu kubwa na ya msingi ni wadhaifu katika kutoa maamuzi na pia hawawezi kuyasimamia wayaamuayo
Mkuu,huudhaifu umethibitishwa kisayansi?
 
Yapi mkuu?

Kwanini?

kwanini unataka nigoogle na sio kukuuliza mtoa taarifa
aliekwambia akili za wanawake haziko stable ni nani
hawana mitazamo ya mbali ni vitu gani vinavyomtofautisha mwenye mitazamo ya mbali na karibu
je wanaume wanapotoa maamuzi wanatafuta intension kwa nani kama sio hadhira hiyo hiyo
unaposema wanawake hawawezi kusimama wenyewe je wanaume wanaweza???? na kale kamsemo ka katika kila mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke nyuma unakubaliana nako

Nakubali!
 
I am tired of taking the leading role.

I want things to go the old way. I want a man who is the head of the family.

I want a man with authority. A man who is sober upstairs and knows what he is doing.

I cannot bask in the glory of marriage yet I make the wheels turn. Mimi ndo mama, mimi ndo baba mi ndo kila kitu. No way. I will be play the supporting role but never again the lead lady.
 
Usibadili nyeusi kuwa nyekundu bana...Mwanamke ameumbwa kuwa chini ya Mwanaume...Ndio hivyo MUNGU alivyoumba...hakuan haja ya mjadala...WOMEN will always be under men...Full stop
Hizi akili zingine hizi tabu tupu

Hebu muulizeni huyu jamaa,ni nani anaetaka kubadili chochoje hapa?
 
I am tired of taking the lead. In my next marriage I want things to go the old way. I want a man who is the head of the family. I want a man with authority. A man who is sober upstairs and knows what he is doing. I cannot bask in the glory of marriage yet I make the wheels turn. Mimi ndo mama, mimi ndo baba mi ndo kila kitu. No way. I will be play the supporting role but never again the lead lady.
Nini kimekuchosha malkia?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom