Unataka ipi, kizamani au kisasa?

Unataka ipi, kizamani au kisasa?

mmh naogopa kufunguka hapa maana majua Eiyer atanitwanga maswali tu
 
Last edited by a moderator:
Wewe unapima akili hapa...Ujue kama hujanielewa inawezekana wewe ndo akili yako ina matatizo.... Ni hivi....Mwanamke atakuwa chini...mwanaume atakuwa juu.....nje ya hapo ni kubadili nyeusi kuwa nyekundu...swallow it
Utakua na mtindio wa ubongo wewe

Nimesema wapi nataka kubadili chochote?

Mimi nimeuliza kuwa unataka ndoa ya mtindo upi na unipe sababu,wewe unadai nataka kubadili

Wewe ni mzima kweli?
 
Inaeleweka kuwa nyakati za nyuma kwenye ndoa Mwanaume alikuwa ndie mwenye last say kwenye chochote kile

Lakini siku hizi mambo ni tofauti wanawake nao wanahitaji kuwa na maamuzi hayo pia yaani sio mwanaume tu anatakiwa awe na last say

Pamoja na hayo bado haimaanishi kuwa kila mtu anaeingia kwenye ndoa anakubaliana na mabadiliko hayo

Kuna ambao wanataka mtindo wa zamani wengine wanataka mtindo wa sasa

Wewe ungependa ndoa yako iweje[kama bado hujaingia kwenye ndoa] au ungependa ibadilike na iwe kwa mtindo upi? [kama tayari upo kwenye ndoa]

Naomba unaposema unataka aina yoyote ya ndoa ile utoe na sababu za kutaka hivyo

Ijumaa kareem ...........!!!!!!!

Ukitaka hivyo tafuta mti au mgomba tengeneza mume wako.Hapo utakuwa na last say!period
 
Haki sawa haiwezi kuwepo sababu kuna majukumu ya KE na ME hayawezi kuwa sawaaa Wanaume (wanaojitambua) wataendelea kukojoa wima sie tutaendelea kuchuchuma miaka yote - jamani huu usasa tunaoutaka haupo!!
Afanaaleki!!!!
 
Haiwezekani mwanamke awe na Last say kamwe, na wala haiwezaekani iwe 50/50 mmoja lazima awe kianja na mwingine ni loazima afwate. I dont mean kuwa awe anaburuzwa NO ila ni lazima kuwe kuna mmoja mwenye veto. Kwamba anachoamua ni lazima kifanyike kwa wakati huo, discussion nyingine baadae. Pengine hata kubadilisha huo msimamo baada ya maelezo, ushauri wenye hoja lakini sio kubishana. Mi nikishaamua kuwa ni A then A it is, nikisema B ni B hiyo....na alishajua so huwa anatulia atatekeleza lakini huku ananishauri taratibu. Mwanaume LAZIMA awe na say ya mwisho kwa mtazamo wangu(From experience)
Kwanini mwanaume awe na last say?
 
Siamini kama kuna mtu anachagua mfumo wa ndoa....tunajikuta tu tumeshakuwa ndani ya mfumo a au ule wa be. Mazingira nayo yanachangia vitu vingi, ndoa nayo haiwezi kukwepa....madai ya baba anatafuta, hivyo nyumbani kwake anapatikana masaa 5 kati ya 24, atasubiriwa atoe maamuzi? Au vitu vilale kwa kuwa hatujasikia maamuzi ya baba? Kuna maamuzi yanaweza yakamsubiri baba, yes, na mengine ataendelea nayo tu mama....Labda tu kuwe na dikteta in the house, hapo lazima mchechemee...
Kwanza lengo la mada yangu sio kumuaminisha yoyote chochote

Pili inaonekana hujajua ni maamuzi gani tunazungumzia hapa

Hapa hatuzungumzii suala la kula maembe mangapi kwenye chakula au watoto waende kulala saa ngapi!
 
baba yako alikuwa sahihi. Baba legelege hujenga familia legelege na mitoto legelege. Watoto wanaotoka katika famili ambayo mama huwa ana last say, kama ni wa kike mara nyingi ndoa humshinda, na kama wa kiume hushindwa kuiongoza familia yake.
Prove it!
 
Inapendeza wote tukawa tunasikilizana ktk ndoa lakin pia dhana ya mwanaume inabaki pale pale na mwanamke inabaki pale pale
Dhana ipi hiyo?
 
Binafsi ningependa mfumo wa zamani kwa sababu ndiyo hata Mungu anukubali Mwanaume kuwa kichwa cha nyumba,kumbuka kichwa ndo chenye maamuzi sikuzote,utofauti utakuwa tu kwenye kusikiliza maana zamani mwanamke alikuwa hapati nafasi ya kusikilizwa atakalosema mwanaume ndo linatakiwa lifanyike mimi nitaruhusu mawazo ya mwanamke ila last say nitakuwa mimi kwa maana ya kuhitimisha yale tuliyokubaliana na kuyaweka katika utekelezaji,nitapenda kila mtu atimize wajibu wake wa ndoa kulingana na misingi ya ndoa iliyopo.Asanteni
 
Kichwa na mkia haviwezi kuwa sawa abadani!!! Naturally, mwanaume ni boss of za household na mwanamke ni msaidizi!! MY TAKE!: Hyo ni management structure nzuri na wala haina mana inamkandamiza yeyte la hasha, na mtakubaliana namim kuwa ndomana ndoa za zamani zilidumu sana kuliko hzi za ki-digitali!!! Haya yte ni matokeo ya democratization & kuimarika kwa ufalme WA secret society!! MUNGU HAKUWA MJINGA KUWEKA MWANAUME NA MWANAMKE ambao mamlaka yaliyopo kati yao ndiyo tofauti yao!! Mfumo WA zamani ni MWAROBAINI WA EVERLASTING MARRIAGE!!!
Kivipi mwanaume ni Boss?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom