Kwanini maamuzi uyatoe wewe na sio mkeo?mwanaume atabaki kuwa mwanaume na mwanamke atabaki kuwa mwanamke katika misingi ya maisha uliyojengwa sasa yapata miaka maelfu. ninapenda kupokea maoni na mawazo ya mke wangu kwasababu ni mtu na anauwezo wa kufikiri katika jambo lolote ila linapofikia swala la kutoa uamuzi wa mwisho nitajaza nafasi japo nikiwa na mawazo yake.
Angalia usije ukajikuta chumbani kwangu!
Kama sio Wakristo?Kama ni Wakristo then biblia inatakiwa iwe ndo kama katiba yenu. Hakika kwenye biblia mwanaume kapewa mamlaka hayo ya kuwa kichwa cha familia. Cha msingi ni kujali utu na siku zote kuangalia namna ya kuboresha na sio kushindana. Kama wife wangu ana mawazo mazuri kwa nini nisimsikilize. Mwisho ubabe ndo hautakiwi, ila mwanamke mwenye busara zake hawezi fanya maamuzi bila "hata" kumpa taarifa mume wake. Ni hayo tu mkuu.
Generalization mkuu, wanafunzi wa chuo tuko poa tu! Ni wapuuzi tu huandika ule mwandiko!Yapi mkuu?
Kwanini?
kwanini wa zamani na sio wa sasa toa hoja
Wakati huo utakua na nani?
Uko sawa ndipo ninaposema muhimu kusikilizana hata ukiwa wewe ndio mtoa uamuzi kwa kupitia wazo la mkeo ni superb
Kwanini maamuzi uyatoe wewe na sio mkeo?
Kuwa hatari ni hadi pale ambapo busara inapokosekana,lakini kama busara ipo hakuna hatari yoyoteni njema baba last say akiwa nayo mtu mmoja ni hatari.coz sio kila wazo atakalitoa say litakua sahihi.. hapo ndipo mwenzie atakapotoa last say na itakua opportunity ya wote... Mungu nijalie mume mwelewa
Generalization mkuu, wanafunzi wa chuo tuko poa tu! Ni wapuuzi tu huandika ule mwandiko!
Akili za wanawake haziko stable, wanawaza na kutoa hoja kulingana na mzunguko wao wa kubleed!!!
...
- Akibleed na wiki ya kwanza baada ya kubleed anakuwa na akili zake timamu!
- Wiki inayofata hapo akili inachange na kuwaza kinyume nyume! Teh teh teh!
- Baada ya hapo akili yake inarudi kuwa normal!
- Aliwa mjamzito, ndio kabisaaaaa!
Apart from that! Wengi wao hawana mitazamo ya mbali! Yaani wanamitazamo ya Jongoo! Hadi wajigonge ndio watambue mbele hakuna njia!
...
Vile vile wanawake wengi wanasumbuliwa mental disorder known as Adjustment disorder!
...
Vile vile ke wengi wanasumbuliwa na ASPD attention seeking personal disorder, hivyo wengi wao hutoa maamuzi kwa kutafuta tu intension kwa hadhira!
...
Wanawake wengi ni Firgners!
...
Wanawake wengi hawawezi kusimama wenyewe! Sometimes mawazo mabovu ya shoga zake inakuwa tatizo ktk ndoa!
...
Nadhani Eiyer tuko pamoja!
Miss neddy kama kunasehem haujaelewa unaweza kugogle!
Kwanini unadhani hakuna haki sawa mama D ?Mmmh Eiyer Mimi hakuna kitu naichukia kama hii ya kusema ati kisasa HAKI SAWA Hakunaga kitu inaitwa haki sawa kati ya mume na mke bhanaaaa Mwanaume anatakiwa kumpenda mke wake na Mwanamke amheshimu mume wake katika hili mtu akitimiza majukumu yake hakuna tatizo vinginevyo ni mwendo wa ndoa kuvunjika tuu
Kwanini usifike?