wanataka haki sawa hawa wabeijing... siku hizi kidume hata ukipiga mkwara naye anapiga mkwara kuwa anaondoka... so ngoma droo... na haiwezi kujirudia kama zaman imebaki history tu....
Wewe ungependa ndoa yako iweje[kama bado hujaingia kwenye ndoa] au ungependa ibadilike na iwe kwa mtindo upi? [kama tayari upo kwenye ndoa]
Naomba unaposema unataka aina yoyote ya ndoa ile utoe na sababu za kutaka hivyo
man should have the last say,naweza kukusikiliza mawazo yako ila mimi kama mwanamume ndio natakiwa niamue maamuzi ya mwisho,sikukatazi kama mke wangu kutoa mawazo ila mimi ndo natakiwa niamue sasa hilo wazo lako tutalifanyia kazi au tunatupilia kule,nadhani wanawake wengi mnafaham ni jinsi gani wanaume tuna busara na maamuzi yetu,
NB: kikubwa ni kuheshimu na mawazo ya mkeo hata kama hukubaliani nayo unayakataa kwa upole,hekima na sababu zako za msingi zakuyakataa,ila last say should remain to a man!!!
Mfumo wa zamani ndio mzuri zaidi ila uwe improved kidogo cz of mazingra yana change.
B'se ngumu sana kuchange nature, and iman ya dini + mfumo wa maisha ya miaka mingi siku zote mwanaume ndio last say. Then hawa ndugu zetu jinsia KE, hata iweje lazma wapate mtu wa kuwaongoza bila hvyo lazma watakua wrong way, so kuwapa last say sawa kujiwashia kibiriti mwenyewe, migogoro itakua kilasiku. Ngumu sana mtu mwenye nature ya kupenda kusifiwa akawa ndio last say.

Tunapofunga ndoa tunakuwa mwili mmoja na kitu kimoja , sasa hapo wote tuwe wamoja tusikilizane na tukubaliane kama kuna jambo lina point then kwako huko wrong hapo nitakuwa last say.
Njema sana bibiehabari bsba paroko..
Kwanini mtindo wa kisasa uwe mzuri?mtindo wa kisasa ni mzuri iwapo mnaendana kimawazo...so yoyote kati ya me au ke akitoa last say inakua na mantiki...na pia inaongeza kuheshimiana
Sanaaaaaaa!!!!!
Done!
Eiyer mi nimekuja tu kukusalimia!
Baaaaaas!
Hebu jifunze kuandika
Huu uandishi wenu wa huko vyuoni muuanche huko huko!
Acha umbea bana .....lol!!!!
:doh:
Eiyer umeona matatizo yako ayo?
:focus:
Mtindo wa zamani ndio mpango mzima!