Unataka ipi, kizamani au kisasa?

Unataka ipi, kizamani au kisasa?

unaposema kisasa inamaana hadi mambo ya chumvini yanahusika
 
siku hizi wanawake tumekua vichwa ngumu mme akisema nasisi twasema hapohapo kwa pamoja yani hakuna wa kumsikiliza mwenzie inabaki ni makelele tu! mme pewe nafas ake bt akivuruga nampa makavu
 
Pa1 kuskilizana ...lakn mwanaume lazma ashike hatam za familia!!

Mimi sijauliza nani kati ya mwanaume na mwanamke anastahili kushika hatamu

Nimeuliza kama wewe unadhani ni mwanaume au mwanamke,ni kwanini unadhani hivyo

Hebu tujibu basi!
 
siku hizi wanawake tumekua vichwa ngumu mme akisema nasisi twasema hapohapo kwa pamoja yani hakuna wa kumsikiliza mwenzie inabaki ni makelele tu! mme pewe nafas ake bt akivuruga nampa makavu

Bado hujajibu swali la smingi la kwenye mada!
 
siku hizi wanawake tumekua vichwa ngumu mme akisema nasisi twasema hapohapo kwa pamoja yani hakuna wa kumsikiliza mwenzie inabaki ni makelele tu! mme pewe nafas ake bt akivuruga nampa makavu

Ndo mana mahous girl wanatuhusu sana maana ndio mwanamke pekee atanayemsikiliza mwanaume kwa heshima ndani ya nyumba.
 
mwanaume atabaki kuwa mwanaume na mwanamke atabaki kuwa mwanamke katika misingi ya maisha uliyojengwa sasa yapata miaka maelfu.
ninapenda kupokea maoni na mawazo ya mke wangu kwasababu ni mtu na anauwezo wa kufikiri katika jambo lolote ila linapofikia swala la kutoa uamuzi wa mwisho nitajaza nafasi japo nikiwa na mawazo yake.
 
Ndoa ni taasisi kama zilivyo zingine

Tofauti ya taasisi inayoitwa ndoa ni kuwa haina time frame

Kama kwenye taasisi kuna mwenye last say ambae anachaguliwa kwa mujibu wa kanuni na anakuwa kwenye mamlaka hayo kwa kipindi fulani na katika kipindi hicho hakuna mwingine

Kwenye ndoa atakaekuwa na last say atakuwa huyo maisha yote ya ndoa kwakuwa ndoa haina uchaguzi wala time frame ya kiongozi

Hapa unatakiwa ujue hilo na hakuna mahali ambapo haijulikani ni nani mwenye last say

Nipe mfano wa sehemu moja kama unaijua!

Kama ni Wakristo then biblia inatakiwa iwe ndo kama katiba yenu.
Hakika kwenye biblia mwanaume kapewa mamlaka hayo ya kuwa kichwa cha familia.
Cha msingi ni kujali utu na siku zote kuangalia namna ya kuboresha na sio kushindana.
Kama wife wangu ana mawazo mazuri kwa nini nisimsikilize.
Mwisho ubabe ndo hautakiwi, ila mwanamke mwenye busara zake hawezi fanya maamuzi bila "hata" kumpa taarifa mume wake. Ni hayo tu mkuu.
 
Unaujua ndoa ni nini?

Unajua huo mwili mmoja ni kwenye nini?

Asante ngoja nikujibu kama ifuatavyo:-
Ndoa ni muungano kati ya mwanamke na mwanamume kuishi pamoja kama mume na mke muda wote wa maisha yao.

“Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja”.
Hapa tunaona kusudi la kuwa mwili mmoja

i) Kimwili – wawe na makazi yao wenyewe

ii) Kihisia – wategemeane na kutiana moyo na kusaidiana

iii) Kiuchumi – wajitegemee kwa mahitaji yao ya kila siku.

I hope nitakuwa nimekujibu ipasavyo
 
Njema sana bibie
Upo?

Kwanini mtindo wa kisasa uwe mzuri?

Kwanini unaona ni vizuri kila mmoja kutoa last say?

ni njema baba

last say akiwa nayo mtu mmoja ni hatari.coz sio kila wazo atakalitoa say litakua sahihi..
hapo ndipo mwenzie atakapotoa last say na itakua opportunity ya wote...

Mungu nijalie mume mwelewa
 
mwanaume atabaki kuwa mwanaume na mwanamke atabaki kuwa mwanamke katika misingi ya maisha uliyojengwa sasa yapata miaka maelfu.
ninapenda kupokea maoni na mawazo ya mke wangu kwasababu ni mtu na anauwezo wa kufikiri katika jambo lolote ila linapofikia swala la kutoa uamuzi wa mwisho nitajaza nafasi japo nikiwa na mawazo yake.

Uko sawa ndipo ninaposema muhimu kusikilizana hata ukiwa wewe ndio mtoa uamuzi kwa kupitia wazo la mkeo ni superb
 
Kama ni Wakristo then biblia inatakiwa iwe ndo kama katiba yenu.
Hakika kwenye biblia mwanaume kapewa mamlaka hayo ya kuwa kichwa cha familia.
Cha msingi ni kujali utu na siku zote kuangalia namna ya kuboresha na sio kushindana.
Kama wife wangu ana mawazo mazuri kwa nini nisimsikilize.
Mwisho ubabe ndo hautakiwi, ila mwanamke mwenye busara zake hawezi fanya maamuzi bila "hata" kumpa taarifa mume wake. Ni hayo tu mkuu.

umesema vyema mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom