Unataka ipi, kizamani au kisasa?

Unataka ipi, kizamani au kisasa?

Wewe hutaki kuongoza?


Mmmmh Eiyer nawe mgumu kuelewa, yaani maelezo yote hayo hujanifahamu nipo mlengo gani.Mbona nilishabainisha kuwa nipo kwenye kisasa nawe umefafanua kisasa ilivyo.
Ila sishangai sana vile weh ni Me,
 
Mmmmh Eiyer nawe mgumu kuelewa, yaani maelezo yote hayo hujanifahamu nipo mlengo gani.Mbona nilishabainisha kuwa nipo kwenye kisasa nawe umefafanua kisasa ilivyo.
Ila sishangai sana vile weh ni Me,

Kuna mambo mawili

Kuna ukisasa wa kutaka haki sawa
Kuna ukisasa wa kutaka wanawake waongoze

Wewe uko kwenye kundi lipi?
 
Mleta mada mwenyewe ameanza kuvuruga thread yake kwa kuanzisha story ambazo zina majibishano na zikapoteza ladha kabisa ikaishia kuzungumzia watu tu..
Anyway nami nitie neno..mfumo wa zamani una strengths na weakness zake kadhalika mfumo wa kisasa vivyohivyo..mimi nipo kati..mfumo wa zamani nusu na mfumo wa kisasa nusu.kwanini?
una mambo mengi ambayo hayawezi kubadilika miaka nenda rud na kuna mengine pia hubadilika kulingana na wakat..mfano;:
nafasi ya nwanaume katika jamii itaendelea kuwepo tu mfano jamii nyingi kwa sasa watoto huitwa kwa majina ya baba zao na upande wa mama hautambuliki..mwanaume ndiye anaonekana shujaa na jasiri kwenye jamii. kitendo ambacho hupelekea baadhi ya jamii kutompa nafasi mwanamke kusimama mbrle ya wanaume na kuongea..e.g wamasai..
kwa mtindo wa kisasa pia suala la mwanamke kunyimwa uhuru wa kutoa maamuzi si zuri..ila linatakiwa kufanywa kwa busara na hekima si kwa kumaanisha kumkandamiza mwanaume..

huwezi.kuutupa uzamani na kuukumbatia usasa moja kwa moja..yapo ya kuchukua na mengine ya kuacha..ila pamoja na hayo nafasi ya mwanaume itabaki palepale tu hata wanawake wakipigana vipi hawawezi kuitengua kwani Mungu ndiye aliyewapa mamlaka hayo..

Je kwa wale ambao hawaamini katika dini?
 
haya maamuzi ya leo huyu kesho huyu wewe ndo utakua wa kwanza kuyaanzisha dunia nzima yaan!!

hahaa sidhani.........ila nie hamjanielewa what I mean ni kwamba

mimi na husband tuwe decision makers na sio mtu mmoja
 
mhhhhhhhhhhh
huu ndo huo ubavu ama

Huyo ndie ananifanya nakuwa nafuraha kila siku
Huyo ndie malkia wa moyo wangu
Huyo ndie anaenipa raha kila siku
Huyo ndie malkia wa ulimwengu ninaoishi

My love Karucee hebu njoo huku ......lol!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom