Hii umeshaiona?
![]()
Na hii je?
![]()
Majaribu gani tena?
mkishamaliza kunyweshana soda nini kinafuata
Nitafute ...........!!!!!!!!!
Unataka kujua ili iweje?
Hebu acha umbea
honey Faitk njoo umchukue shoga yako anataka kutuharibia huku!!!!!!!!
hahahahaha imeandikwa usimtie paroko majaribuni
sasa endeleeni mi nawatch movie
Njoo ......
Unasubiria nini sasa?
mkishamaliza kunyweshana soda nini kinafuata
iache Movie iendelee bana
mhhhhhhhhh ya nnchi gani mbona nyekundu
Sio corn
![]()
Au hii?
![]()
Inaeleweka kuwa nyakati za nyuma kwenye ndoa Mwanaume alikuwa ndie mwenye last say kwenye chochote kile
Lakini siku hizi mambo ni tofauti wanawake nao wanahitaji kuwa na maamuzi hayo pia yaani sio mwanaume tu anatakiwa awe na last say
Pamoja na hayo bado haimaanishi kuwa kila mtu anaeingia kwenye ndoa anakubaliana na mabadiliko hayo
Kuna ambao wanataka mtindo wa zamani wengine wanataka mtindo wa sasa
Wewe ungependa ndoa yako iweje[kama bado hujaingia kwenye ndoa] au ungependa ibadilike na iwe kwa mtindo upi? [kama tayari upo kwenye ndoa]
Naomba unaposema unataka aina yoyote ya ndoa ile utoe na sababu za kutaka hivyo
Ijumaa kareem ...........!!!!!!!
mie nataka ya kisasa, yaani kuanzia mambo ya kuaga siyapndi ataka niwe natoa taarifa, nikitaka kwenda vacation nisiombe ruhusa niwe natoa taarifa na kwenda nnapotaka, mambo ya kuomba ruhusa mie siyapendi