Unataka ipi, kizamani au kisasa?

Unataka ipi, kizamani au kisasa?

Kwanini hependi kuomba ruhusa?

Unataka nani awe na last say?

may be niko selfish, I just want to be myself. Naona ninachoamua niko sawa ila taarifa ntatoa.
Last say haina shida naweza fata yake ila nikiamua au nikitaka kitu changu asinikataze na wala asinibane bane. Anipe nafasineejoy kisha ntarudi kwake safely.
May be ndo maana naona bora niwe single coz naona kama sitakwa na muda na watoto na ikitokea kusikiliza kuwa nataka niende vacation sitaki kitu cha famila kinizuie hata.
 
Unajua maana ya last say?
 
Vijana mkitaka ndoa nzuri basi zingatieni sana ya kale. Ndoa za zamani mama zetu hawakuwahi kulalamikia kukandamizwa mpaka hapo watoto wao wa kike wa siku hizi (kizazi kipya) walipoanza kuchanganya u magharibi ndio ikawa kama hadithi ya mama Hawa na Nyoka bustanini Edeni. Wakafunguka macho (kwa uovu) wakaona jinsi walivyokuwa wanakandamizwa (eti) wakina mama wa zamani, hao akina mama waadilifu, akina mama ambao hawakuwahi kufikishana kwenye vyombo vya sheria kudai haki kwa kuwa haki kwao ilkuwa ni familia zao na sio mali za kuchuma wote na kutaka kugawana. Japo haelezwi mkishagawana yule aliyetoka kwao kuja kwa ajili ya upendo atarudije na hizo mali alizochuma na mwenza!

Mwisho nashauri ndoa na ziongozwe na upendo na si mashindano ya nani awe na last say.
 
Jambo linaweza kuwa rahisi kwako lakini likawa gumu kwa mwingine

Hivyo ku assume tu kuwa ni rahisi ni kosa!
nikipata wanaoona ugumu katika hilo, basi nitasadiki maneno yako
 
sasa ukitaka ya kisasa maana yake unakubaliana kuchapiwa?
 
Unajua maana ya last say?

najua na pia najijua na mie ni mbishi so nahisi nikija olewa tutakuwa tunalumbana tuu maana akisema last say name nataka kufanya yangu tutaishia kugombana bora niendelee kuwa single loo
 
Last say inatoka kwenye hoja zenye ushawishi na mashiko si kwenye hisia tu za aidha ubabe,huba,uoga n.k
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom