Hahahahahahaha 2ckilizane nn xaxa?
umepotea hapa sio fb. xaxaxaxaxa 2ck za nini humu
Hahahahahahaha 2ckilizane nn xaxa?
Mkataba uko wapi?
Nilisaini wapi
Nimevunja sheria gani?
uliposema nichague zawadi ninayotaka hiyo ni OFFER ulinipa na hukusema hiyo zawadi iwe ya aina gani so baada ya mimi kuaccept ofa yako mpaka hapa tushafanya AGREEMENT
na contract ni agreement between two parties
so itanidi utimize makubaliano au lah nina haki ya kudai fidia kwa kukiuka makubalino yetu
Sijui nikupe zawadi gani kwa jibu lakoHatujakubaliana hata ni aina gani ya zawadi nikupe unaanza kudai ni mkataba
Una hatari sana wewe
Kwanza tukubaliane aina ya zawadi
Kisha tukubaliane tuinalipana vipi
Kisha tukubaliane kwa wakati gani italipwa
Kati ya hayo hakuna hata moja lililofanikiwa!
Utakua na mtindio wa ubongo wewe
Nimesema wapi nataka kubadili chochote?
Mimi nimeuliza kuwa unataka ndoa ya mtindo upi na unipe sababu,wewe unadai nataka kubadili
Wewe ni mzima kweli?
Siwezi kufanya kazi za kijinga
Kama amekimbiwa si atafute mwingine?
acheni kujidanganya Sk zote mwanamke unatakiwa upokee maelekezo na sio kutoa maelekezo....... Hata wanyama kama ng'ombe na nyani wanalitambua hlo. Ng'ombe anamuogopa mtoto wa kiume hata mwenye miaka miwili laki sio mwanamke mtu mzima.......
Mimi nataka mtindo wa kisasa.
Coz ht mi nina mawazo bora yatakayoiletea faida familia
Kuna mtu amemtoa mwenzake ubavu,ndo namuuliza miss neddy kama anamjua . . . . . Lol!
kama ana wazo bora nitalikubali na mie kama nna opinion bora aikubali
sio mambo ya bendera fuata upepo.
sisemi hakuna mwenye last say lakin yeye leo anaweza kuwa na last say
na mie kesho nikawa na last say isiwe one way
haka ka dada sitaki uwe na hadisi nako baba paroko.
miss neddy.
khaaaaaaaaaa na paroko unammiliki amah
Anakuja kukujibu.
Hapana chezea Baba Paroko.