Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
aisee ndo najipanga hapa, yani kila nikiandika naona nimekosea nafuta, nakaribia kughairi ivoo
hahaha jiamini bhana mwanamke bila kuwezeshwa anaweza
aisee ndo najipanga hapa, yani kila nikiandika naona nimekosea nafuta, nakaribia kughairi ivoo
mhhhh umemwitaje
Haya endelea kufikiri hivyo hivyo!
kwani si kawaida tu,, tunaishi kidhugu shoga ee
hahaha jiamini bhana mwanamke bila kuwezeshwa anaweza
Sio kuongozana, Tunataka tuongoze yaani kushika hatamu.
Kuna msemo unasema wanaume kichwa cha chini kikisimama cha juu hakifanyi kazi, ni bora yetu sisi maana muda wote tunawaza vyema kuliko nyie hamtabiriki so hamtakiwi kuwa last say
stay away please
mimi ni mswahili pyuaa ukimwita my hubby babe sikuelewi kwa kweli
hahaaa mswahili pyuaaaa! huhuuu sa hasira za kukimbiwa na mumeo ndo unimalizie mie? huhuuuuuuuuu unalo iloo
Ahadi gani hiyo?
dawa yako inachemka kila ukimuona unajipitisha pitisha tu wait------
Kama ni ya kumtafuta binadamu mwenye uwezo wa kufikiri siwezi
Hilo ulijue kabisaaa!!!!
Kama ni ya kumtafuta binadamu mwenye uwezo wa kufikiri siwezi
Hilo ulijue kabisaaa!!!!
mwambie huyo, kwanza mume atamkimbiaje kama sio yeye kasababisha akimbie, asikusumbue mwaya kwani we ndo ulimtafutia mume!
Siwezi kufanya kazi za kijinga
Kama amekimbiwa si atafute mwingine?