Mwambie bana
Mbona baba paroko hana matatizo na mtu?
Sijui nikupe zawadi gani kwa jibu lako hili murua
Hebu chagua .......!!!!!!!!!
Unawajua kuku wa uswazi?
Wana kawaida ya kuondoka nyumbani na kwenda kusikojulikana
Lakini mwenye hao kuku huwezi kumsikia anawatafuta!
sasa wangu kapotea zaidi ya mwezi jamani nimemkumbuka sana naogopa asije akachinjwa huko nisaidie kumrudisha bandani
nina uhakika ni wangu kila mtu anatambua hivyoKama ni wako anawezaje kuondoka bila kukuaga?
Anawezaje kukaa huko aliko bila hata kusema haloo?
Inaonekana kuwa hayo ni mawazo yako tu kuwa ni wako wakati yeye anafikiria kitu kingine kabisa!
Usiogope maswali!!!!!
sasa wangu kapotea zaidi ya mwezi jamani nimemkumbuka sana naogopa asije akachinjwa huko nisaidie kumrudisha bandani
Unaposema "tuongozane" unamaanisha nini?
aisee huyu jamaa namuheshimu kuna siku alinishushua hadi nikajisikia vibaya
hahahaha unapongina hoja na paroko ujipange haswaaa
Excel babe unaitwa huku na mkeo