CHIEF MP
JF-Expert Member
- Jul 6, 2011
- 1,559
- 680
Mwanaume Ukitaka ndoa idumumu ni kuwajibika kama kichwa kinavyowajibika kwa mwili na si vinginevyo
mama D, kuhusu nyie kuwa mkia co tusi ni lugha ya kifasihi, basi tuseme wanawke ni subset ya wanaume ambao ni set kamili!!!!
kuhusu utandawazi, democrasia na mengneyo yaihusuyo nguvu ya secret society ni athari ambazo ni vgum kuzitambua kwa sasa ila MAMBO YA HAKI SAWA YANAWACOST & MWISHOWE NDOA KUYUMBA BLA KUJUA!!!!
Mengne nakubaliana na comments zko!!!