UNATAKA KUWEKEZA DODOMA?(HILI NDO ENEO SAHIHI,SOMA HAPA-ENEO LA KWANZA TOKA BARABARANI-AFTER ROAD RESERVE BEACONS)
MAHALI ; Nala-Mzani(singida road)
UMBALI ; -15Km toka city centre
-cha kwanza toka mainroad
UKUBWA ; 4046 SQM (one acre)
KUPIMWA ; Kimepimwa-hati inatoka kwa jina lako(kina in-voice kwaajili ya hati)
MAJIRANI WA ENEO HILI NI NANI?
1.NGAGEYA COLLEGE OF BUSINESS
2.WEIGHTBRIDGE STATION
3.NEW PETROL STATION(ORYX)
4. DECOHAS COLLEGE
5.DODOMA TECHNICAL INSTITUTE(VTC)
6.SEMINARY OF THE SISTER'S OF SANTHOME
MATUMIZI YA PLOT ; FLEXIBLE
USIUMIZE KICHWA KUHUSU FURSA AMA UFANYE NINI,SOMA HAPA
01.Jenga apartments za kupangisha/kuuza kwani wafanyakazi wa vyuo hivyo watahitaji makazi jirani
02.Jenga fremu na fanya biashara kama maduka ya stationery,boutique,barber shops,food point/fast food bila kusahau car wash,bar kwani vyuo vyote hivyo lazima huduma hizo zitahitajika
03.jenga fremu fanya biashara ya mbao na hardware kwa ujumla bila kusahau tofali kwani watu wanajenga kwa kasi sana eneo hilo(manispaa wameanza kutoa vibali vya ujenzi baada ya kupima hivi karibuni)
04.Jenga hospital/zahanati sababu makazi yanakua kwa haraka na vyuo vyote hivyo havina hospital.Ikumbukwe vyuo vinafanya kazi tayari
05.Jenga Taasisi ama chuo pia
BEI YA ENEO HILI
MILIONI 50 TU(FIXED)
SITE VISIT CHARGE-30,000/= (When you buy the plot you deduct it from purchasing price-making the system customer friendly)
FOR MORE INQUIRIES
+255622111186(WHATSAP)
+255767833496(CALL)
NB ; THE PLOT IS AVAILABLE FOR IMMEDIATE SALE
Sent using
Jamii Forums mobile app