Good Neighbour
JF-Expert Member
- Jul 12, 2017
- 942
- 898
- Thread starter
- #21
MAHALI ; Michese-Iringa road(nyuma ya usalama wa taifa)
UMBALI ; 5.5KM toka city centre
UKUBWA ; Square metres 3619,ambapo vinategemea kutoka viwanja vitatu kwa kufuata master plan baada ya kupimwa
KUPIMWA : Tayari kumeshapimwa
MIUNDO-MBINU; Maji+umeme haviko mbali,barabara imeanza kukarabatiwa kuwa ya lami
SIFA ZA ZIADA
1.Eneo liko sehemu nzuri sana njoo uende site ukajionee
2.unaweza chukua ukaja kuviuza baada ya barabara za mitaa kuchongwa na kujiongezea kipato
3.kwa wale wanaopenda kukaa kwenye eneo kubwa(low density area) hapa patakufaa sana
4.ni karibu sana na mjini na bei ni nafuu sana
5.pako jirani na sehemu iliyojengeka vizuri(chidachi)
NB ; Hii ni ofa ambayo mwisho wake ni 11/11/2018
ENEI HALINA TATIZO WALA MGOGORO WA AINA YOYOTE ILE,RUKSA KWENDA MANISPAA KUHAKIKI.
0767833496
0622111186

LOCATION ; NALA-NKUHUNGU BROAD ACRE(SINGIDA ROAD)