Unatafuta kiwanja Dodoma?

Unatafuta kiwanja Dodoma?

Michese sio Iringa Road aisee. Ungesema Mkonze sawa. Michese barabara inaungana na Iringa road?
 
Michese sio Iringa Road aisee. Ungesema Mkonze sawa. Michese barabara inaungana na Iringa road?
Ndio maana kwenye mabano ikaandikwa nyuma ya usalama wa taifa.najihusisha na real Estate na nina Extensive experience na hii sekta,kuna watu hawajawahi fika dodoma kabisa hivyo huwa lazima uwatajie ni barabara ipi kwanza!!hayo mengine sasa yatakuja for more inquiries
Ili kufika michese si lazima upite iringa road ndio uchepuke na barabara ya vumbi inayopita usalama wa taifa au si kweli?
 
Ndio maana kwenye mabano ikaandikwa nyuma ya usalama wa taifa.najihusisha na real Estate na nina Extensive experience na hii sekta,kuna watu hawajawahi fika dodoma kabisa hivyo huwa lazima uwatajie ni barabara ipi kwanza!!hayo mengine sasa yatakuja for more inquiries
Ili kufika michese si lazima upite iringa road ndio uchepuke na barabara ya vumbi au si kweli?
Vimeshalipiwa gharama za upimaji??
 
Nauza kiwanja changu mwenyewe

MAHALI ;Kiko michese substation-iringa Road(Nyuma ya usalama wa Taifa)

UMBALI ; 7km toka city centre

UKUBWA ; 4032 SQM

KUPIMWA ; Kimeshahakikiwa(reconnaissance),ila kinapakana na mtu ambaye alishapimiwa na kuna bicons za kushea upande mmoja(utaona kwenye picha)

MAJI+UMEME ; Umeme tayari nguzo ninayo kwenye eneo langu.maji yako jirani

OTHER DETAILS
1.kina mapagale mawili ndani yake-moja lina vyumba 12 na jingine lina vyumba 02
2.Kuna kisima cha asili ndani yake
3.kuna mikorosho+mihogo+miembe ndani yale
4.Ni eneo zuri sana kwa makazi na unapata nafasi kubwa ya kufanya shughuli zako zingine kama vile ufugaji,n.k

BEI ; Milioni 22 Tu kwa malipo ya CASH

MALIPO YA AWAMU ;

A. Milioni 24 kwa miezi 3,kila mwezi milioni 8
B.Milioni 30 kwa miezi 6,kila mwezi milioni 5

Pia tunaweza zungumza zaidi,maelewano yapo.

Kwa mawasiliano na picha zaidi tuwasiliane
+255622111186(whatsap)
+255767833496
IMG-20170719-WA0027.jpeg
IMG-20170719-WA0010.jpeg
IMG-20170719-WA0032.jpeg
IMG-20170719-WA0028.jpeg
IMG-20170719-WA0034.jpeg
IMG-20170719-WA0031.jpeg
IMG-20170719-WA0033.jpeg
 
Imekuwaje kiwe eneo hilo halafu hakijapimwa na iliykuwa CDA? Matumizi ya ardhi kabla yalikuwa nin?
 
MAHALI ; ilazo extension-Block D-plot number 261

UKUBWA ; 735 SQM

UMBALI ; 10km toka city centre

KUPIMWA ; Kimepimwa+hakina deni lolote

AMENITIES(HUDUMA) ; Maji+umeme viko jirani

BEI ; milioni 9.5(fixed-not negotiable)

NB ; kwa picha na video tuwasiliane
0767833496
0622111186(whatsap)
IMG_20181114_110851_1.jpeg
 
MAHALI ;-Nala-chinangali(karibu na mzani)
-singida/mwanza/tabora main road

UMBALI ;-15Km toka city centre
-200m mpaka 700m toka main road

UKUBWA(SQM) + BEI(TZS)
A. 769----------------------- 4,600,000/=
B. 931------------------------5,586,000/=
C. 962------------------------5,772,000/=
D. 928------------------------5,568,000/=
E. 600------------------------4,000,000/=
F. 606-------------------------4,040,000/=
G.1383-----------------------8,298,000/=

HUDUMA ZA KIJAMII
-A(769) kina nguzo ya umeme jirani kabisa+maji

-B,C,D na G umeme upo umbali 700m toka site

-E na F umeme upo 150m toka site

NB; Maji yako kwenye mchakato wa kuletwa kwa viwanja B,C,D,G,E na F

KUPIMWA ; viwanja vyote vimepimwa tayari

FURSA
1.Ni sehemu nzuri kwa makazi na tambarare
2.Bei yake ni nafuu sana
3.Viwanja vikubwa-vinakupa nafasi kubwa ya kufanya shughuli zako zingine

MALIPO
-Cash
-Awamu(muda wa awamu ni maelewano tu)

MAWASILIANO
+255622111186(Whatsap)
+255767833496
Hapa chini ni baadhi ya picha za maeneo hayo

OPEN DOORS TO BETTER LIVING
THANK ME LATER
IMG_20181121_202728_541.JPG
IMG_20181121_114434_5.jpeg
IMG_20181121_114152_7.jpeg
IMG_20181121_114128_3.jpeg
IMG_20181121_110235_6.jpeg
IMG_20181121_110254_4.jpeg
IMG_20181121_105212_0.jpeg
 
Kwanza bei yake ni laki 5 Tu kwa ekari moja(4032 square metres)

Eneo liko karibu na fursa hizi
1.Eneo jipya la tawi la chuo cha IFM
2.Eneo jipya la tawi la chuo cha mipango
3.Eneo jipya la tawi la chuo cha st.John
4.Eneo ambapo watumishi wa JWTZ&JKT watajengewa makazi
5.Eneo.la waziri mkuu(mh.majaliwa kasim,ekari 80)

Matumizi ya eneo ni kulingana na matakwa ya mnunuzi.unaweza weka makazi,taasisi ama biashara

Pia unaweza fanya kilimo kwani eneo lina udongo wenye rutuba(Arable Land).

Water table ipo karibu,hivyo ni rahisi sana hasa kwa uchimbaji wa kisima.Kazi kwako

Eneo liko Dodoma mjini,Nala-sehemu iitwayo Lugala.Umbali wa kilomita 26 tu toka town centre(ikulu iko kilomita 30,je wapi ni mbali???)

Mwenye macho haambiwi ona na mwenye kuona fursa kama hii hawezi kuiacha

Tusisubiri kusema "maeneo yalikuwaga bei rahisi dodoma siku hizi ni balaa" (wakati bei bado nafuu)

THANK ME LATER!!

I OPEN DOORS TO BETTER LIVING
+255622111186(whatsap)
+255767833496
IMG_20180508_121404_2.jpeg
 
Mkuu kwa ulimwengu wa sasa kwa shamba la ekari 10 na kama unavyosema lipo karibu na JWT huwezi kuwa na hati ya kimila mkuu. Nakushauri tafuta hati kaka. Badala ya hapo njoo tu discuss biashara hapa hata kama itaanzia na 15M poa tu
 
Mkuu kwa ulimwengu wa sasa kwa shamba la ekari 10 na kama unavyosema lipo karibu na JWT huwezi kuwa na hati ya kimila mkuu. Nakushauri tafuta hati kaka. Badala ya hapo njoo tu discuss biashara hapa hata kama itaanzia na 15M poa tu
Ungekuja twende site+manispaa umalize hayo madukuduku yako.mpaka nimeweka tangazo hapa niko sahihi kabisa

Napenda kubishana kwa vitendo sio bla bla na kupotezeana muda
Asante
 
Bora niende Chenene tu umbali huo upo sawa. Na kule hekari zote hizo unapata kwa laki 3 . wamasai wanauza
 
Back
Top Bottom