mwisho2016
JF-Expert Member
- Jun 27, 2016
- 724
- 625
Ukishapanda daladala, Tena ikiwa haijajaa sana. Unaweza ukaamua uangaze machohuku na kule. Kadhalika wenzako/abiria hufanya hivyo kuwaza na kiwazua. Hapa unaweza ukaacheza na akili za zao.
Unaweza ukaanza kutazama wanaofikiria Mambo yao nyumbani, wengine wanawatazama abiria wengine intentionally. Wakiwa na ama amevutiwa na kitu. Mavazi, sura, umbo nk.
Lakini wapo wanaotamani hapa utawakuta wezi, anaangalia mkoba au mfukoni mwa mweziwe. Wapo wanaopenda Sana wadada wazuri wakae karibu ama hata kwenye siti moja. Route za posta, mbezi na baadhi ya maeneo matawi mjini, nilikuwa nikipenda Sana kuwa karibu na wakinadada wazuri. Ni kule kuwa karibu tu.
Sasa katika chapisho hili, naweka uwazi wa Hali ilivyo, mwizi akijisahau utaona tu anaangalia mikoba na vitu vya watu ndani ya basi. Malaya utawaona, na Mimi nimo katika kundi la wanaotambulika walau seat ya mbele au pembeni kulia au kushoto awepo mrembo mkali nikijilia Raha ya macho. Japo Mimi sio Malaya.
Wengi tunapenda daladala lakini tunakutana na Hali hizi uncounsiousness. Wakati mwingine unaweza ukajilinda na Hali hizi. Kuna wanga pia. Zongo aka kipapai. Hawa unimgundua, wewe mkazie jicho tu, ikatokea una neno linalomfaa, mwambie, mzee unamtafuta mtu?....ujiandae kwa sabb anaweza akakujia juu. Sikushauri Sana, lakini unaweza ukajibu mapigo kwa uangalifu. Kwa mfano...waloge hawo hawo...hapo atagundua umeshamjua..
Iwe wizi na zongo, unaweza kupambana navyo muhimu Ni kuwa makini tu