little hulk
JF-Expert Member
- Jun 20, 2014
- 1,610
- 558
haswaaaaaaaaa mkuu haujakosea..... am proud myself kwa chaguo langu
http://m.youtube.com/watch?v=xfCmZa2nLNM#
Kuangalia uzuri ndiyo ya kwanza kwangu....
Siwezi kukosa kufaidi uzuri na hapo hapo tabia nayo iwe hamna.
Mimi vitu vyangu ni vizuri vizuri shekh....teamtabianzuri mtanisamehe.
astakafirullah hul adhim....http://m.youtube.com/watch?v=xfCmZa2nLNM#
Kuangalia uzuri ndiyo ya kwanza kwangu....
Siwezi kukosa kufaidi uzuri na hapo hapo tabia nayo iwe hamna.
Mimi vitu vyangu ni vizuri vizuri shekh....teamtabianzuri mtanisamehe.
astakafirullah hul adhim....
What if akipata ajali? Utamkimbia na kumuacha au?
Uzuri ni sababu ya mwisho!!
Sent from my iPad Air using JamiiForums
We una lako jambo tu sasa mada gani hii?
Consider this letters for a good wife.
A. Appearance
B.Body structure.
C.Character.
D.Discipline.
E.Education. and
F.Fashion
http://m.youtube.com/watch?v=xfCmZa2nLNM#
Kuangalia uzuri ndiyo ya kwanza kwangu....
Siwezi kukosa kufaidi uzuri na hapo hapo tabia nayo iwe hamna.
Mimi vitu vyangu ni vizuri vizuri shekh....teamtabianzuri mtanisamehe.
Mapenzi ya dhati unayafahamu?Anaweza akawa mzuri lkn huna mapenzi ya dhati naye uzur siyo issue balu ni pendo la dhati kwaje na kwako
Mapenzi ya dhati unayafahamu?
Unawezaje kupata mapenzi ya dhati?
Utajuaje kuwa ni ya dhati?
Narudia kusema Mimi naangalia kile ninachokiona na kupata.
Itajulikana huko mbeleniSasa kama uzuri ukiisha ndo bas tena.