Unapopita 'Ushuani' kwenye nyumba za kifahari, huwa unajisemea nini moyoni?

Nilienda kupanga ununio beach for inspiration purposes kabla mbunge hajawa rais, but when the new slave master came into power ndoto zangu zote ziligeuka kua nyevu ila sijakat tamaa lazima nione bahar in my backyard, Amen.
 
Jidanganye. Hao wote ni wevi, wazulumati, washirikina, Mafisadi, manabii wa uongo, majambazi, walozi, matapeli, wauza unga, wafuga majini, nk. Endelea kusema one day yes.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom