Mcheza Karate
JF-Expert Member
- Jun 30, 2011
- 690
- 350
Kuna mzee mmoja aliwahi kuniambia kwamba uchungu wa kufiwa na mzazi au wazazi anaujua yule aliyefiwa..
Kisha akaniambia kwamba kama una rafiki aliyefiwa na mzazi au wazazi halafu itokee ukamweleza kuwa unauguliwa na mzazi wako, usidhani atakusikitikia sana....
"Si afe tu ili tufanane" anaweza hata kuwaza hivyo......
Sina uhakika kama maneno ya huyo mzee ambaye ameshatangulia mbele ya haki yana ukweli.
Lakini ninachotaka kusema hapa ni kwamba ni wale tu waliofiwa na wazazi ndio wanaojua uchungu wa kufiwa lakini yule ambaye wazazi wake wote wapo hai hawezi kujua uchungu wa kufiwa.................

Habari za hapa wanajamvi?
Leo napenda tujadili kitu tofauti kidogo na mazoea yetu. Nacho ni hisia na maisha kwa ujumla bila ya wazazi.
Umeshawahi kujiuliza ikatokea leo wazazi wako wakachukukiwa na BwANA kwenda kwenye makao ya kudumu?
Kwa wale waliopatwa na hali hiyo nadhani wana picha hali jinsi inavyokuwa. Lakini nalo nadhani inategemea unaachwa na wazazi ktk umri gani.
Hebu fikiria unafiwa na mzazi mmoja wapo ukiwa labla shule au chuo ni tofauti na yule aliyefiwa na mzazi wake wakati akiwa mtu mzima ana kazi yake na maisha yake.
Hebu fikiria ukaondokewa na baba yako mzazi aliyekuwa anakupenda sana hadi wewe mwenyewe ukajua unapendwa. Unabaki na mama ambaye sasa ni mjane na siku moja anakuomba pesa(na sio kawaida yake kukuomba pesa) na wewe ukawa huna pesa hizo kwa wakati huo utajisikiaje?
Kwangu mimi huwa nafikiri kuishi pasipo na mzazi mmoja au wote ni kama kujitenga na dunia vile. Japo sasa ni mtu mzima na familia yangu lakini naweza kuamka usingizini usiku sana na nikakumbuka kuwa sina baba ameshatangulia kwenye makao ya milele huwa natokwa na machozi na siwezi tena kulala.
Hebu tujadili kwa pamoja nini kifanyike ili mtu upate furaha ya kudumu japo huna wazazi.
Kwani huwa ni furaha ya muda tu mfano mimi nikikumbuka tu nakosa raha hata nikiwa eneo gani japo tangu nimeondokewa na mpendwa wangu miaka 6 iliyopita.
Karibuni.
mimi nilifiwa na baba yangu nikiwa mtu mzima hivi, nimeolewa na nina watoto....... uchungu niliousikia sitataka mtu yeyote aupate, let alone my friend.....Kuna mzee mmoja aliwahi kuniambia kwamba uchungu wa kufiwa na mzazi au wazazi anaujua yule aliyefiwa..
Kisha akaniambia kwamba kama una rafiki aliyefiwa na mzazi au wazazi halafu itokee ukamweleza kuwa unauguliwa na mzazi wako, usidhani atakusikitikia sana....
"Si afe tu ili tufanane" anaweza hata kuwaza hivyo......
Sina uhakika kama maneno ya huyo mzee ambaye ameshatangulia mbele ya haki yana ukweli.
Lakini ninachotaka kusema hapa ni kwamba ni wale tu waliofiwa na wazazi ndio wanaojua uchungu wa kufiwa lakini yule ambaye wazazi wake wote wapo hai hawezi kujua uchungu wa kufiwa.................
hii thread IMENILIZA, NA WOTE MLIOCHANGIA! i have both parents though my mama is seriously sick huu ni mwaka wa 3! hawezi kuongea anaongea kw ishara na akihuzunika au kama kuna kitu kinamuuma hulia! my dad is ONE in a million man! kila anapokwenda huenda na mama, kabla ya kwenda kazini anahakikisha mum kapewa dawa, chakula etc, labda tu niseme kuwa hata kula mum hali kwa mdomo ana mwaka wa tatu pia, amewekewa tube TUMBONI, SO KILA KITU KINAPITA KWA TUBE!
NIMESHALIA SANA, NIMESHAKUWA SUGU, NAMUOMBEA UJASIRI WA KUVUMILIA YOTE NAIOMBEA PIA FAMILIA YANGU TUSHIKAMANE KATIKA KIPINDI HIKI CHA KUMUUGUZA MAMA MPAKA HAPO MUNGU ITAKAPOMPENDEZA KUMPONYA KABISA!
SIJUI NI KWA NINI, ILA NINA IMANI KUBWAAAAAAA KUWA ATAPONA KABISA! ATAKUJA KUONGEA NA KUWA MZIMA TENA!! poleni wapendwa wote mliopoteza wazazi,. HAKIKA INAUMA SANA, I CAN IMAGINE WHAT U HAVE BEEN THROUGH!! MUNGU WETU AWAPE FARAJA, ATUPE NA SISI MAISHA MAREFU, ILI tuweze kuwalea watoto wetu mpaka wawe wakubwaaaaaaa, na wajukuu TUWAONE! amen!
cha kufanyika ili kupata furaha ni ku let it go, adhere to the fact that kila mtu ataonja kifo, it's the destiny, pole sana
sio rahisi mkuu,binafsi inaniumiza sana,mara nyingi nalia tu na kumshukuru mungu kwa yote.nimefiwa na baba nikiwa form two.
nilipokuwa naisoma hii post nimekumbuka mambo mengi sana P,those days tunakua the way nlikuwa namwona mzee K akiongozana na mama kanisani na rozali zao mkononi!nimelia kusema ukweli!wazazi wako wanapenda sana kusali mke mwenza no wonder una imani kubwa kiasi hiki! I LOVE YU SIS!hii thread IMENILIZA, NA WOTE MLIOCHANGIA! i have both parents though my mama is seriously sick huu ni mwaka wa 3! hawezi kuongea anaongea kw ishara na akihuzunika au kama kuna kitu kinamuuma hulia! my dad is ONE in a million man! kila anapokwenda huenda na mama, kabla ya kwenda kazini anahakikisha mum kapewa dawa, chakula etc, labda tu niseme kuwa hata kula mum hali kwa mdomo ana mwaka wa tatu pia, amewekewa tube TUMBONI, SO KILA KITU KINAPITA KWA TUBE!
NIMESHALIA SANA, NIMESHAKUWA SUGU, NAMUOMBEA UJASIRI WA KUVUMILIA YOTE NAIOMBEA PIA FAMILIA YANGU TUSHIKAMANE KATIKA KIPINDI HIKI CHA KUMUUGUZA MAMA MPAKA HAPO MUNGU ITAKAPOMPENDEZA KUMPONYA KABISA!
SIJUI NI KWA NINI, ILA NINA IMANI KUBWAAAAAAA KUWA ATAPONA KABISA! ATAKUJA KUONGEA NA KUWA MZIMA TENA!! poleni wapendwa wote mliopoteza wazazi,. HAKIKA INAUMA SANA, I CAN IMAGINE WHAT U HAVE BEEN THROUGH!! MUNGU WETU AWAPE FARAJA, ATUPE NA SISI MAISHA MAREFU, ILI tuweze kuwalea watoto wetu mpaka wawe wakubwaaaaaaa, na wajukuu TUWAONE! amen!
hii thread IMENILIZA, NA WOTE MLIOCHANGIA! i have both parents though my mama is seriously sick huu ni mwaka wa 3! hawezi kuongea anaongea kw ishara na akihuzunika au kama kuna kitu kinamuuma hulia! my dad is ONE in a million man! kila anapokwenda huenda na mama, kabla ya kwenda kazini anahakikisha mum kapewa dawa, chakula etc, labda tu niseme kuwa hata kula mum hali kwa mdomo ana mwaka wa tatu pia, amewekewa tube TUMBONI, SO KILA KITU KINAPITA KWA TUBE!
NIMESHALIA SANA, NIMESHAKUWA SUGU, NAMUOMBEA UJASIRI WA KUVUMILIA YOTE NAIOMBEA PIA FAMILIA YANGU TUSHIKAMANE KATIKA KIPINDI HIKI CHA KUMUUGUZA MAMA MPAKA HAPO MUNGU ITAKAPOMPENDEZA KUMPONYA KABISA!
SIJUI NI KWA NINI, ILA NINA IMANI KUBWAAAAAAA KUWA ATAPONA KABISA! ATAKUJA KUONGEA NA KUWA MZIMA TENA!! poleni wapendwa wote mliopoteza wazazi,. HAKIKA INAUMA SANA, I CAN IMAGINE WHAT U HAVE BEEN THROUGH!! MUNGU WETU AWAPE FARAJA, ATUPE NA SISI MAISHA MAREFU, ILI tuweze kuwalea watoto wetu mpaka wawe wakubwaaaaaaa, na wajukuu TUWAONE! amen!
nilipokuwa naisoma hii post nimekumbuka mambo mengi sana P,those days tunakua the way nlikuwa namwona mzee K akiongozana na mama kanisani na rozali zao mkononi!nimelia kusema ukweli!wazazi wako wanapenda sana kusali mke mwenza no wonder una imani kubwa kiasi hiki! I LOVE YU SIS!
mi wazazi wote hawapo ! RR naomba nikudese mstari wako! I LOST HIM NIKIWA VERY YOUNG KIASI SIKUONA TOFAUTI
I LOST HER NIKIWA NAJIELEWA KIASI SIWEZI KUSAHAU MAUMIVU YAKE!dah!acheni jamani!mlio na wazazi wenu muwapende na kuwaenzi sana jamani!wenzenu tunatamani sana tungekuwa nao sasa tuweze kuwashower na haya tuliyonayo!mi huwa kila nikiona suti nzuri ya kimama huwa namuimagine mama yangu angekuwa ameivaa baada ya mimi kumnunulia na kumpelekea nyumbani kwake yani ile makelele flan hivi "mum check nimekulipuaje leo!''
DAH! i miss them badly!sana jamani!
pole nawe!jamaa sijui kafikiria nini!kimsingi nawamiss sana wazazi wangu shem!sana!sina tu jinsi!Ooh sorry snowhite, daa wazazi ni muhimu sana na tunapo wapoteza tuna umia sana bila shaka mungu wetu ni mwema anaendelea kutufariji!
Mimi mwenyewe hii post kwa kweli imenitoa machozi pamoja nilimpoteza baba yangu nikiwa mdogo sana lakini najua umuhimu wa wazazi na upendo wao, namshukuru mungu ameendelea kumpigania mama yangu na kutuendelea kutulea na mungu wetu ameendelea kuwa mfariji wetu kila leo. Kwakweli uchungu wa kufiwa na mzazi anajua yule ambaye ameondokewa na wazazi!
Mungu ni mwema kila leo.