mcubic
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 10,310
- 6,546
Hapa ndipo OKW BOBAN SUNZU anapodhalilika.Unapotoa povu kumsafisha Lowasa waziri mkuu aliyejiuzuru kwa kashfa ya ufisadi wa Richmond,usisahau pia kuwa Mh.Lowasa kazungukwa na Rostam,Karamagi na Chenge.CVs za hawa watu zinajulikana!Kwa hiyo ndugu msafishaji kumsafisha Lowasa tu haitoshi,una jukumu zito kuendelea kusafisha pia watajwa hapo juu.Tujikumbushe kidogo kauli ya baba wa taifa kuwa huwezi kuwa msafi na unazungukwa na watu wa ajabu ajabu