G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,376
- 5,264
...
Mkuu, mimi naona bora Obama alichukua muda mrefu kugeuza kibao, 2008 hadi 2016 ni miaka 8.Ebana kiongozi ni kweli kabisa usipokuwa mnafiki kwenye siasa wewe bado hujawa mwanasiasa popote pale Sikh zote siasa huwa zinaenda na upepo.
Hizi ni kauli za Obama alizowahi kuzitoa nyakati mbili toafuti kuhusu Hillary.
"Hillary will say anything to get elected and do nothing, she cannot be trusted so that she is not qualified to be the president of united states"-2008
"there has never been a man or a woman more qualified than Hillary Clinton to serve as President of the United States of America"-2016
Hapo sio kwamba alikuwa hakumbuki bali ni makusudi Tu kulingana na upepo umekaaje wakati anatoa maneno hayo.
Unapotoa povu kumsafisha Lowasa waziri mkuu aliyejiuzuru kwa kashfa ya ufisadi wa Richmond,usisahau pia kuwa Mh.Lowasa kazungukwa na Rostam,Karamagi na Chenge.CVs za hawa watu zinajulikana!Kwa hiyo ndugu msafishaji kumsafisha Lowasa tu haitoshi,una jukumu zito kuendelea kusafisha pia watajwa hapo juu.Tujikumbushe kidogo kauli ya baba wa taifa kuwa huwezi kuwa msafi na unazungukwa na watu wa ajabu ajabu
Mkuu, mimi naona bora Obama alichukua muda mrefu kugeuza kibao, 2008 hadi 2016 ni miaka 8.
Lakini mwenzetu ilimchukua miezi 3 tu kuanza kula matapishi yake, manake uzi huu ni wa tarehe 26 Mei 2015. Hebu sasa pitia nyuzi na post zake kuanzia Agosti 2015.
Ni hoja yenu hiyo bavicha. Kumbukumbu zinadumuhoja ya kipuuzi kabisa, ndio maana hadi sasa ina like moja tu😵
OKW BOBAN SUNZU ni moja ya "great thinkers" wa jf, think tank ya forum yetu.[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Kwa aina hii ya political analysts, hakuna mtu hapa.
Kuna wengine wanaitwa BAK na Salary Slip na The Boss...wanafiki hujawahi ona dunia hiiDuniani kuna wanafiki sana, nowdays huyu anamsifia lowasa kuliko wazazi wake
hahahahahahahahahaha, JF kwa kutunza mafaili mko juu!!! tehe teheUnapotoa povu kumsafisha Lowasa waziri mkuu aliyejiuzuru kwa kashfa ya ufisadi wa Richmond,usisahau pia kuwa Mh.Lowasa kazungukwa na Rostam,Karamagi na Chenge.CVs za hawa watu zinajulikana!Kwa hiyo ndugu msafishaji kumsafisha Lowasa tu haitoshi,una jukumu zito kuendelea kusafisha pia watajwa hapo juu.Tujikumbushe kidogo kauli ya baba wa taifa kuwa huwezi kuwa msafi na unazungukwa na watu wa ajabu ajabu
Wewe ni wa ajabu sana Rostam Karamagi na Chenge Siyo watu wenu nyie?Unapotoa povu kumsafisha Lowasa waziri mkuu aliyejiuzuru kwa kashfa ya ufisadi wa Richmond,usisahau pia kuwa Mh.Lowasa kazungukwa na Rostam,Karamagi na Chenge.CVs za hawa watu zinajulikana!Kwa hiyo ndugu msafishaji kumsafisha Lowasa tu haitoshi,una jukumu zito kuendelea kusafisha pia watajwa hapo juu.Tujikumbushe kidogo kauli ya baba wa taifa kuwa huwezi kuwa msafi na unazungukwa na watu wa ajabu ajabu
ukipata muda pitia tena post yake yake hii hapa: CHADEMA Okoa Tanzania Dhidi ya Janga Lowassa RichmondHalafu hata aibu hawana hao vijana wa ukawa
Unapotoa povu kumsafisha Lowasa waziri mkuu aliyejiuzuru kwa kashfa ya ufisadi wa Richmond,usisahau pia kuwa Mh.Lowasa kazungukwa na Rostam,Karamagi na Chenge.CVs za hawa watu zinajulikana!Kwa hiyo ndugu msafishaji kumsafisha Lowasa tu haitoshi,una jukumu zito kuendelea kusafisha pia watajwa hapo juu.Tujikumbushe kidogo kauli ya baba wa taifa kuwa huwezi kuwa msafi na unazungukwa na watu wa ajabu ajabu
Mkuu, mimi naona bora Obama alichukua muda mrefu kugeuza kibao, 2008 hadi 2016 ni miaka 8.
Lakini mwenzetu ilimchukua miezi 3 tu kuanza kula matapishi yake, manake uzi huu ni wa tarehe 26 Mei 2015. Hebu sasa pitia nyuzi na post zake kuanzia Agosti 2015.
Lowasa ndio muasisi wa ufisadi, rushwa na makundi katika siasa za tanzania. Wote wanaojaribu kumsafisha ni kwa unafiki na masilahi yao binafisi. Napenda kuwasihi watanzania wenzangu siasa haitatusaidia kwa mtindo huuWewe ni wa ajabu sana Rostam Karamagi na Chenge Siyo watu wenu nyie?
Mkuu, njaa mbaya sana.Hahaha...nimeona mkuu, ni shidaa utasema labda aliuza account yake baada ya tareh 26 may
Kiwango cha LamiTujifunze kuweka akiba ya maneno,huu ni unafiki wa kiwango cha juu kabisa