Unapomsafisha Lowassa wasafishe na hawa

Unapomsafisha Lowassa wasafishe na hawa

OKW BOBAN SUNZU ni moja ya "great thinkers" wa jf, think tank ya forum yetu.[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Kwa aina hii ya political analysts, hakuna mtu hapa.

hajawahi kuwa mkuu,please!

kiwango hiki cha unafiki sio cha ajabu kwa 'mashabiki' wa siasa kabisa.kinawakera analysts tu!
 
Kuna vijana walikuwa wanajenga hoja za maana sana kwenye kipindi cha malumbano ya hoja kika alhamisi pale ITV!

Lakini baada ya Mbowe kubadili gia angani sijui kiliwapata nini wale vijana hadi leo hawaendi tena kwenye kile kipindi.
 
Jamani acheni kufukua "makumbusho" tugange ya jayo hayo yalishapita
 
Kuna vijana walikuwa wanajenga hoja za maana sana kwenye kipindi cha malumbano ya hoja kika alhamisi pale ITV!

Lakini baada ya Mbowe kubadili gia angani sijui kiliwapata nini wale vijana hadi leo hawaendi tena kwenye kile kipindi.
Ha ha ha....maneno yao yaliwakaba kooni.
Hivi huoni thread za Yeriko zinavyomsuta?
Anatamani azing'oe lakini JF haking'oki kitu [emoji2] [emoji2]
 
Huwa tunasema
Cdm imejaa wanafiki na wazandiki
Mwakyembe kasema kweli
Rudisheni Kesi ya lowassa muone
 
Back
Top Bottom