Hata kupumuliwa kisogoni ilimradi mkono uingie kichwani.Njaa kitu kibaya - waweza fanya usichotegemewa!
Hata kupumuliwa kisogoni ilimradi mkono uingie kichwani.
Aisee! Wababa kabla hamjaingia kwenye siasa muwaweke sawa wake zenu. Hukawii kutoswa,kha!
imbombo ngafu....nashindwa kuelewa kama ndo anatabasamu au analia au ndo kulazimisha tabasamu
Nape kakunja uso kama nini sijui