Unapogundua jina la mtoto wako

Mkuu hebu tuwe sawa ktk hili, nadhan mpaka hoja inaletwa moja kwa moja kuna walakini ndani yake. Mimi ningemuacha/nitamuacha coz akili yake huyu haipo kwangu, moyo wake upo kwa X wake..

Lakin . . . . ni kweli, ila naona kama unaweza angalau ukambadilisha hata jina mtoto ili maisha yaendelee kama kawa

aaah jaman hebu tu thnk critically may b kampa jina hilo mwanae labda ni jina zuri tu na analipenda! Eg mtu anaweza kusema mm mwanangu akiwa wa kiume nitamuita calvin,
na bahati huko mbelen akapata bwana anaitwa calvin akawa nae kwa muda na baadae wakaachana binti akaolewa na alipopata mtoto akampa jina la calvin lakin si kwa ajili ya X wake hapana na jina tu alilolipenda tangu utotoni.

Du how can one come up with such..................... is beyond me!!??? Anyways,what you have said, has no truth to it or whatsover.

CPU
Personally ,I am named after my father's university ex girlfriend. My mother knows this, I know it , infact my whole family is aware of this, and we do joke about it sometimes. Wazazi wangu met at uni so I reckon it was no biggy to ma, otherwise...............................................By the way, contrary to the quoted comment my father hajawahi kutaka kunibaka!?

Everything has a reason.
Tell me, what was so special for your father to call u his ex gf name? Unajua alichokuwa anamkumbukia gf wake mpaka akakupa jina lake??
Itakuwaje kama mama nae akampa mwanae wa kiume jina la bf wake wa zamani?

aaah jaman hebu tu thnk critically may b kampa jina hilo mwanae labda ni jina zuri tu na analipenda! Eg mtu anaweza kusema mm mwanangu akiwa wa kiume nitamuita calvin,
na bahati huko mbelen akapata bwana anaitwa calvin akawa nae kwa muda na baadae wakaachana binti akaolewa na alipopata mtoto akampa jina la calvin lakin si kwa ajili ya X wake hapana na jina tu alilolipenda tangu utotoni.

Sawa mkuu, ila mimi sizungumzii kwamba ukwepe majina ya X wako wote hata kama ulishapanga utoe jina hilo kwa mwanao kabla ya kujuana na huyo x wako. Ninachosema mimi ni pale unapokuwa na dhamira ya kutoa jina kwa sababu ya X wako tu, na sio vinginevyo.

Mfano, mimi ningependa mwanangu wa kike aitwe Upendo, na nilitaka jina hili tangu nikiwa darasa la 7
Hapo ni tofauti na kutaka kumwita mwanangu Upendo baada ya kuwa mtu mzima na nimeshatembea kimapenzi na Upendo
Upo hapo kaka???

aaah jaman hebu tu thnk critically may b kampa jina hilo mwanae labda ni jina zuri tu na analipenda! Eg mtu anaweza kusema mm mwanangu akiwa wa kiume nitamuita calvin,
na bahati huko mbelen akapata bwana anaitwa calvin akawa nae kwa muda na baadae wakaachana binti akaolewa na alipopata mtoto akampa jina la calvin lakin si kwa ajili ya X wake hapana na jina tu alilolipenda tangu utotoni.

aaaiiseee hayo maelezo yametolewa kana kwamba wewe ndio mhusika sasa wajitetea....

Ila nimependa mtazamo wako... ni mzuri kwa kweli...

Watu wanabadili majina wakiwa watu wazima kabisa, sembuse watoto . . . .

Kwani mtoto akipewa jina halibadilishiki . . ??

mi nadhani hata ukibadili jina haitasaidia,lazima itaendelea kukusumbua tu! Kwanin mpaka ameamua kumuita jina mwanetu ambalo ni la x?? Kubadili jina haindoi maumivu ni sawa tu na kupoza kiu ya soda kwa maji ya mia3 kwani umekosa mia5 ya kununua soda!

yani mwanangu?????????
Awe kitu cha kumbukumbu kwa mama yake kwa mpz wake wa zamani?????
Lazima pasitoshe.....

Haya mambo yapo lakini. Kuna jamaa alisoma na hubby mwanae ana jina la binti nilyesoma nae mimi. Hubby aliwahi nambia kuwa jamaa alikuwa anamzimikia vibaya sana huyo binti ila sidhani kama aliwahi kumchukua. Hiyo stori alinambia wakati tuko wote college. Mume wangu hajuhi jina la mtoto wa huyo jamaa kwani they were not that much close na urafiki si wa kiivyo hasa baada ya kumaliza shule. Mimi najua kuwa mtoto wao ana jina la yule binti kwani nawafahamu wote huyo wife na binti mwenye jina. What I think ni kuwa mke hajuhi kuwa mumewe alikuwa amemzimikia mdada mwenye jina la binti yao. Siwezi kuthubutu kusema na najua mkewe hatakaa ajue.

Ahaa Nyumba Kubwa mbona umesema na mtu mwenyewe ni mimi sasa? ahaa haaa aaa!

Kuna watu wanaongozwa na shetani hakika, maana kwa mungu hayo hayawezekana hata kidogo; Duh Mtihani kweli hata sina cha kushauri maana kama ndoa kuingia utata nadhani lazima utaanzia hapo tu!

Jaribu kuwa mvumilivu muombe mungu akupe ujasiri na ustamilivu nadhani unaweza kumsamehe na kubadili jina la mtoto kama kweli ni wako, ila bado nasisitiza maisha ya sasa si kama ya zamani mi sioni kama kuna haja kulazimisha kuishi na mwanamke haki kufa na kuzikana hakika kwa sasa haiwezekani unaweza kubadili na kutafuta anakufahaa

Back
Top Bottom