Unapoandika hisia zako WhatsApp ukafuta, wenye WhatsApp GB wanaona ulichokosea, endelea kukosea ulikuwa sahihi

Wee mama wa mtu!!
Ile pic ilivyonifikia na umbea wangu nikamsimulia baby wangu, akasema ebu tuone!! 😂😂😂

Nikamkatalia akaforce akachukua simu akaliangalia!! We nikakuta mtu kabadilika akaninyanyua nyaku km kifaranga cha kuku 🤣🤣🤣🤣
Akaenda kunifanya asusa, nikasema kweli bi mkubwa kabarikiwa had baby kadisaaa!!!
Duh ukapigwa za kutosha 🙆
 
Gb whatsap ni noma na nusu wale jamaa sio poa na ukianza kuitumia kamwe hautarudi whatsap ya kawaida utaiona michosho tu. Ni kama ukizoea kula pilipili afu upewe chakula hakina pilipili
Niliitumia na sijaona cha ziada. Au nilikosea?

Ninakumbuka niliitumia pamoja na Whatsapp ya kawaida.
 
Si kweli mim huwa nadelay had inagoma kabisa ndio naaupdate
Sikulazimishi bruh!!!

Wengi waliokuwa banned na w'app walisema tatizo lilikuwa hilo,kuchelewa ku-update kwa wakati,lakini nakosa logical kwanini usubiri hadi ikatae kabisa na bado uone ni kitu kizuri hata wenzio wakiige?
 
Sikulazimishi bruh!!!

Wengi waliokuwa banned na w'app walisema tatizo lilikuwa hilo,kuchelewa ku-update kwa wakati,lakini nakosa logical kwanini usubiri hadi ikatae kabisa na bado uone ni kitu kizuri hata wenzio wakiige?
Hii GB whatsapp haimilikiwi na kampuni ya Meta
Inamilikiwa na Wababe flani hivi wa mtandaoni wanaitwa ALEXMODS ambao pia wanamiliki Whatsapp Plus

Meta wamejaribu kupambana nao wameshindwa kilichobaki ni kwamba wakijua namba yako inatumika na GB whats app wanakupa Adhabu ya kutotumia whats app kwa Muda fulani...

Ndiyo maana ukiingia App store, Play store nk huipati GB whats app.
 
Wewe uko Kama mm yani na post memes tu tabu inakujaga kwa boss zangu wanapo kuja nikuta nipo sura mbuzi nikiwa kwenye majukumu yangu mpk wananiulizaga
Wengi munao post memes psychological munajistukia kuonekana mujakua na wengi wanajifosi just kashakua mtu wa kuposti memes ajitajidi ku keep kuposti

Mimi sijawahi post memes nikiposti ujue nimejifosi
 
Mimi nikigundua una WhatsApp Gb nakublock au nafuta namba zako!!
Kuna mmama alipiga pic ya utupu kwa camera ya mbele na sura lake linaonekana pamoja na mpodido, akataka kumtumia mchepuko akashangaa kalituma tumbua status
Watu wakasave, akaja kupigiwa simu na mtoto wake wa kike afute baada ya mume wa mtoto wake kuliona!!!

Sema japo mamá age go ila katuzidi had mabinti afu alivaa shanga toleo jipya hahaaaaa!!
udugu unayaweza weyeeeeh.
 
Nina Miaka minne situmii hii kitu,juzi nilijaribu kudownload app nkakuta mabadiliko kibao Nikai freeze maana naona itaniadhiri kama kipindi kile cha korono nlivyotuma picha nkiwa na Boxa kwenye family group badala ya kumtumia manzi,nashukuru sikuwa na tabia ya kutuma mkuyenge sijui ningeificha wapi sura yangu.
 
Hivi inawezekanaje kitu Kama GB WhatsApp mtu usikie Leo not serious naamini hata Kama hautawai kuitumia ila kwa mtu wa mtandao kweli hata kusoma JF mada randomly tu kwanjia moja au nyengine lazima uwe umewahi kuona imenadikwa sehwmu am Confused
naifaham ila cjajua ina tofauti na whatap app zngine, kusema cjui mtu anaweza kusoma text zako ukiwa una type kabla ya kutuma ndo wamenichanganya kabisa
 
Back
Top Bottom