Unaweza kuwafinya kwakweli, sema ndo watoto..unaruka nao hivyohivyo. Mbaya zaidi wakati wewe unahitaji kupumzika mwenzio kwake ndo kumekucha. Wapo ambao hawalalagi usiku yaan yeye akishtuka saa nne au tano usiku umeisha na wengine ni alfajiri ya kuanzia saa 10 au 11 asubuhi yeye ndo anaamka hasa hawa wa miezi kadhaa😀😀😀. Mtoto msumbufu ni rahisi kumgundua akiwa anaumwa / / au kapata tatizo lolote hata asipokwambia unajua mtoto hayuko sawa, anabadirika kabisa si kama ulivyomzoea so unajua hapa kuna kitu tu.Aisee wewe unawajua watoto vizuri wao hawajui kama mda huu sio wa kucheza
Mtu una majanga yako mtoto haelewi 🤣
Bibi apumzike kwa amani
Ndio unasema je 😎Unajizima data eeh 😄😄
Sana unagundua haraka sanaMtoto msumbufu ni rahisi kumgundua akiwa anaumwa / / au kapata tatizo lolote hata asipokwambia unajua mtoto hayuko sawa, anabadirika kabisa si kama ulivyomzoea so unajua hapa kuna kitu tu.
Mjukuu we elewa hivyo hivyo🤣🤣Unawapenda ila wasiwe wako
Sijaelewa
🤣🤣wa kwako.Wawe wa nani?🤣
Ngoja babu aje anisaidie kunieleweshaMjukuu we elewa hivyo hivyo🤣🤣
Unataka nifukuzwe na wanangu?🤣Ngoja babu aje anisaidie kunielewesha
Nimemuita aje aone mie msema kweli mpenzi wa MunguMjukuu mbona kambea hivi jamani🙆♂️
Babe kweli wewe wa kunisema hivi jamani🙆♂️Hiyo namba achana nayo kabisa, ukitaka umuelewe utashindwa kufanya kazi zako.
🤣🤣Unataka nifukuzwe na wanangu?🤣
Shetani anakutumia mjukuu🥲Nimemuita aje aone mie msema kweli mpenzi wa Mungu
Hufai kabisa.
Kumbe gudubaiiiiHiyo namba achana nayo kabisa, ukitaka umuelewe utashindwa kufanya kazi zako.
Kanapenda kuwekana lakini kutafuta watoto aaaah hakataki, umewahi kuona hii?Ngoja babu aje anisaidie kunielewesha
Mnafanya kilimo kichaa hakina mazao haya endeleeni🤣Kanapenda kuwekana lakini kutafuta watoto aaaah hakataki, umewahi kuona hii?
Mimi watoto napeleka wapi😁🤣🤣wa kwako.
Roho juu juu muda wote kuhusu usalama wake, tabia zake, mafanikio yake na mambo mengine. Hii ni hasa kwa kina mama maana wababa kwa kweli hawajawahi kuwa na uchungu na watoto wao😄Kwanini?