Unapenda watoto?

Ndio burudani za watoto hizo 😂🤣
Huwa wanazingua sana. Yaan usiombe uachiwe watoto wa umri huo. Huwezi kukaa na amani mda wote ni kuwachungulia wanafanya nini cause ukizubaa wanafanya mambo ya hatari. Wamama wanamoyo sana kushinda na watoto, wanahekaheka sana tena ni udadisi wa mambo ya hatari.😅😅😅Ukizubaa unamkuta na dumu la mafuta ya taa anajimiminia tu
 
Duh wengii😬
 
Ukiwa na watoto wadogo ndani huwezi kutulia labda mpka walale😅
 
Mtoto akiwa mdogo hasa wa kiume ile unamnyanyua alafu akakojokea huwa inaleta raha furani ya ajabu sana.

But yule kijana marehemu wa pale Kagera ni mpumbavu sana
 
Mtoto akiwa mdogo hasa wa kiume ile unamnyanyua alafu akakojokea huwa inaleta raha furani ya ajabu sana.

But yule kijana marehemu wa pale Kagera ni mpumbavu sana
Dah🤣🤣🤣 aisee sasa kwanini wakiume ndio akikukojolea uchekelee kwa furaha wa kike je?
 
Ukiwa na watoto wadogo ndani huwezi kutulia labda mpka walale😅
Hafu ukipenda kucheza nao utakoma..😁kila wakati wao wanaona ni mda wakucheza na wewe tu...mda mwingine unawaza yako wao wanakuja kukudandiadandia ucheze nao. Hawawazi kitu hawa viumbe, wao wanaiona dunia hii ni ya furaha tu mda wote.Nakumbuka wakati wa msiba wa bimkubwa yaan wajukuu zake walikuwa hawana hata habari, watu wanalia wanajaa home wanalala..wanakula ila wao hamna wanachokielewa sijui walikuwa wanajua ni sherehe au kitu gani. Wanachez na kukimbizana tu. But baada ya msiba ndo wakamkumbuka, wakawa wanaingia chumbani kwake wakimkosa wanamuulizia bibi yuko wapi. Yaan siku tu wakimkumbuka basi haishi mdomoni kwao. Sometimes mnakosa cha kuwajibu na kila mtu anaondoka eneo lao. Watoto wanakumbukumbu sna!
 
Aisee wewe unawajua watoto vizuri wao hawajui kama mda huu sio wa kucheza

Mtu una majanga yako mtoto haelewi 🤣

Bibi apumzike kwa amani
 
Unajizima data eeh 😄😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…