ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,643
- 41,980
- Thread starter
-
- #61
Vp kuhusu huduma 🤔Siishi kwa ajili ya tuzo, na kama ni tuzo basi watoto ndio tuzo yenyewe...
Kifupi napenda tu watoto, mwaka huu mungu akijaalia watakuwa 16. Na mwakani huenda nikaongeza..
Lengo wafike 20 na kama uwezo ukiruhusu zaidi basi natamani zaidi na zaidi hata kama watafika 30
Safii 🤗Nafurahia ukikaa nae huboreki smart kid, mtapiga stori vzr angalau za kitoto. Na atakuuliza maswali kibwena.
Huyo yeye alisema hataki watoto kama sikosei🤣Infropreneur njoo umsikie huyu dada anachokisema
Yeah, sasa ngoja aje aone jinsi unavyowasifia watoto.Huyo yeye alisema hataki watoto kama sokosei🤣
Kuna kaukweliRaha ya watoto wakiwa wadogo, wakianza kufikia miaka 12 na kuendelea, utatoka mvi ndani ya wiki....
Atulie bhana atuache😅Yeah, sasa ngoja aje aone jinsi unavyowasifia watoto.
Nahisi hapatatosha kabisa😅😅
Mtoto miye simfugi kizungu sana huwa namuacha acheze na baiskeli huko nje, anapigwa kidogo akija anashtaki namwambia unapaswa kumrudishia bwana.
Akienda madrasa anakutana na watoto wenzake anawaleta home ananitambulisha
Basi ndiyo maisha yenyewe hayo.
Kwanini?Ukishapata mtoto maisha yako yanabadilika unakuwa mtu wa wasiwasi tu hadi siku unakufa.
Ninae anko wangu mmoja. Huyu ukiona kimya basi ujue kuna jambo analibananga huko ndani. Yaan mkamtafute kwenye makabati huko. Anaweza akafungua kabati na akajifungia humo. Kuna friji lilikuwa bovu nalo alikuwa anaingia anajifungia. Yaan ukifungua anakutazama anacheka😁😁😁Yaan mtu unahasira yeye anajichekesha kana kwamba alichokuwa anafanya siyo kitu cha hatari.Kumkuta kamwagamwaga vitu mara kajipaka mafuta mwili mzima au poda ni kawaida sana. Watoto wa huu umri wadadisi sana, ukiona kapotea ghafla lazima atakuwa anafanya janga tu sehemu.Wanasema kuwa ukiwa na mtoto wa miaka 2 - 5 hivi, halafu akapotea kwenye uwepo wako na huko aliko akiwa kimya, ujue anafanya uchunguzi wenye uharibifu😀. Labda amepasua simu, anaharibu kitasa nk
Nahudumia... kasoro m1 tu, tulikosana na mama yake, ugomvi alimaindi nilipooa, ila mwaka huu anamaliza la 7 nataka nimchukue, nikae nae mwenyewe.Vp kuhusu huduma 🤔
Ndio burudani za watoto hizo 😂🤣Ninae anko wangu mmoja. Huyu ukiona kimya basi ujue kuna jambo analibananga huko ndani. Yaan mkamtafute kwenye makabati huko. Anaweza akafungua kabati na akajifungia humo. Kuna friji lilikuwa bovu nalo alikuwa anaingia anajifungia. Yaan ukifungua anakutazama anacheka😁😁😁Yaan mtu unahasira yeye anajichekesha kana kwamba alichokuwa anafanya siyo kitu cha hatari.Kumkuta kamwagamwaga vitu mara kajipaka mafuta mwili mzima au poda ni kawaida sana. Watoto wa huu umri wadadisi sana, ukiona kapotea ghafla lazima atakuwa anafanya janga tu sehemu.
Naunga mkono hojaWatoto ni viumbe wa ajabu sana, they have a therapeutic power ambayo huwezi kuipata kwingine kote.
Yaani unaweza ukatoka kazini una stress zako, umevurugwa na bosi au biashara, lakini ukifika nyumbani mtoto akakutazama na yale mapengo yake huku akicheka stress zote huwa zinafuta instantly!
It’s like a natural drug.
Wa kiume yule ukimfungia siku anaweza toka barabarani akawa anaokota vitu anatupa hovyo.Huogopi atapatwa na matatizo huko anapoenda kucheza
Au Mungu atosha kumlinda?
Dunia imeharibika siku hizi
Anacheka like alikua ana fanya anafanya jambo la maana kumbe hatariNinae anko wangu mmoja. Huyu ukiona kimya basi ujue kuna jambo analibananga huko ndani. Yaan mkamtafute kwenye makabati huko. Anaweza akafungua kabati na akajifungia humo. Kuna friji lilikuwa bovu nalo alikuwa anaingia anajifungia. Yaan ukifungua anakutazama anacheka😁😁😁Yaan mtu unahasira yeye anajichekesha kana kwamba alichokuwa anafanya siyo kitu cha hatari.Kumkuta kamwagamwaga vitu mara kajipaka mafuta mwili mzima au poda ni kawaida sana. Watoto wa huu umri wadadisi sana, ukiona kapotea ghafla lazima atakuwa anafanya janga tu sehemu.
Yaani wewe umenielewa sana watoto wana nguvu ya kutuliza sijui hii imekaajeWatoto ni viumbe wa ajabu sana, they have a therapeutic power ambayo huwezi kuipata kwingine kote.
Yaani unaweza ukatoka kazini una stress zako, umevurugwa na bosi au biashara, lakini ukifika nyumbani mtoto akakutazama na yale mapengo yake huku akicheka stress zote huwa zinafuta instantly!
It’s like a natural drug.
hahahaha aseeh nakuwa mkali inabidi nipunguzeUsiwe mkali sana wala mpole kupitiliza kila kitu kwa kiasi
SafiiiiWa kiume yule ukimfungia siku anaweza toka barabarani akawa anaokota vitu anatupa hovyo.
M
Pale mtaani naona jioni watoto wanatoka wanaendasha baiskeli mtaani ni utaratibu wa zamani kweli huo.
Yote kwa yote Mungu atamlinda my presidaaa wangu.