Unapenda watoto?

Wanaume baadhi yenu mpo hivyo
Muhimu uwatunze nayo ni namna nzuri ya kuonesha upendo
 
Ujinga wa wanadamu ni kuendelea kuzaliana... Yaani tukigoma kuzaliana itakua ndio mwisho wa matatizo
 
Kwanini unaita ujinga watu kuzaliana?

Wewe kama hutaki kuzaa acha sio lazima tuwe na mitazamo sawa wote

jifunze kuacha watu wafanye wanavyotaka bila kuwatia ujinga

Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua👍
 
Kwahiyo ukila kinyesi nikuache kwakua unafanya unavyotaka?

Ni ipi faida ya mtoto unaemzaa kwenye ulimwengu huu? Acha faida zako za kibinafsi nitajie faida za mtoto unaemzaa

Ndio maana naona Kiranga yupo sawa anavyowabonda
 
Huu uzi ni kwa ajili ya watu wanaopenda watoto

Kuelezea namna wanavyojisikia kuhusu watoto na watu wengi wameshaeleza

Hiyo mijadala mingine unayoleta sina haja nayo saivi mkuu 🤝
 
Ujinga wa wanadamu ni kuendelea kuzaliana... Yaani tukigoma kuzaliana itakua ndio mwisho wa matatizo
Tunahitaji kuzaliana sababu ya survival ya specie yetu, labda useme tupunguze idadi au kuwe na sheria nani anastahili kuzaa ukitimiza vigezo fulani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…