KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,110
Kweli Koku,
Umenifanya nishushe pressure yangu toka 140/100 hadi 110/65......
Naweza kupumzika kwa amani na kumalizia week end!!
Babu DC!!
Babu wewe.
Umenipa ujiko wa kukushusha presha to nornal
Mjukuu wako leo meno yote nje, kwa furaha ya kumpunguzia babu mapigo ya moyo.
Babu ukitaka kuthibithisha kuwa rangi ya blue ni nzuri just look at the BLUE SKY.
Lovely kwakweli.
Pumzika kwa amani babu yangu uwe karibu na bibi lakini.