Unapenda rangi gani???

Napenda sana nyeusi ikichanganywa na Pink, kijani, Njano au orange. . Alafu napenda sana nyekundu ikichanganywa na nyeupe, and all shades of blue.


Poa Lizzy,

Ngoja nivae miwani ili nisome vizuri!!
 
Babu dithii (samahani nina ki-the) rangi uipendayo ni nzuri na nilipata kusoma jarida moja lilieleza rangi hiyo ilivyo na uwezo wa kuleta harmony ktk brain na ndo maana watu huenda baharini (beach) kupunga upepo lakini lakini kinachotokea ni rangi ya bluu ya maji wayatazamapo hufanya akili zao kutulia na ku na amani zaidi. Binafsi napenda rangi ya mkorogo,mkorogo wa wastani lakini.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom