Unapenda nini Hapa duniani ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unapenda nini Hapa duniani ?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Ndokeji, Jan 14, 2012.

 1. Ndokeji

  Ndokeji JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Mimi napenda 1.kula 2.kulewa kidogo 3. Kuwa na marafiki wabishi. 4.mazoezi 5.mapenzi 6.kulala sana 7.ubishi 8.matani 9.kuvaa vizuri 10. Kuoga kwa siku mara tatu kama dosi .je wewe unapenda nini ?
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sipendi kitu.
   
 3. BRO LEE

  BRO LEE JF-Expert Member

  #3
  Jan 14, 2012
  Joined: Dec 25, 2011
  Messages: 580
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Napenda kuwa na furaha na amani ya akili wakati wowote.
   
 4. Ndokeji

  Ndokeji JF-Expert Member

  #4
  Jan 14, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  wewe ni robot au jini ?
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Jan 14, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mimi ni mimi.
   
 6. KWI KWI

  KWI KWI JF-Expert Member

  #6
  Jan 14, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Katika ulivyo'ainisha hapo juu....lazima uweke tofauti kati ya ''human needs'' na ''human wants''
  1.Kula si kupenda.....ni ''necessity in life''-usipende kula uone unavyo''dhoofu''
  2.Pia, level of ''income and life style''-Kuvaa,mazoezi,kulewa,kuogelea kwa watu wengine si vitu vya kupenda...sababu vipo tu amezaliwa amekuta vinamzunguka.....kwahiyo an''adapt/adopt''.
  3.Mazingira yana nafasi wakati mwingine katika nini unapenda:mfano unakaa uswazi-vitu kama ubishi ni kitu cha kawaida kabisa.
   
 7. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #7
  Jan 14, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mi napenda chakura kilchopikwa na mama (means cha kiafrika), pili MPYOLO
   
 8. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #8
  Jan 14, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Sasa wewe si ungesema unapenda vyote maana umeta vyote sasa
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Jan 14, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  @ Kwi Kwi
  . . . kwasababu tu kula ni necessity haina maana mtu hawezi kufurahia(enjoy)/penda kula. Kuna watu wasioependa kula, kula yao ni ya kulazimishwa/kujilazimisha na kuna watu wanaofurahia kila kijiko cha chakula wanachoweka mdomoni.
  . . . Mavazi nayo watu wanapenda na ndio maana kila mtu anavaa mavazi tofauti na watu wengine. Hio ndio sababu ya kuwepo kwa fashion na style za kila aina
  . . . Kulewa/kunywa pombe watu wanapenda na ndio maana sio kila mtu ni mnywaji/mlevi. Ingekua watu wanafanya kwasababu tu wamekuta wengi wetu tungekua tunakunywa kwasababu tumekuta wakubwa wetu na wengine wanaotuzunguka wanakunywa.
  . . .Mazoezi/kuogelea/kutembea bustanini/ ni vitu ambavyo wapo wanaofanya kwa mazoea, wengine kwa uhitajina wengine kwa kupenda.
   
 10. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #10
  Jan 14, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mkuu umejaribu kumweleza vizuri kazi kwake kuedit thread yake maana anaonekana kaiandaa bila kufikiri kwa kina
   
 11. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #11
  Jan 14, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kha chakura?!!
   
 12. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #12
  Jan 14, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  napenda
  1. Kula
  2. Kulala
  3. Ku****
  4. Kutaga
  5. Marafiki wanaopenda ligi zisizo na kombe ila wawe na hoja.
  6. Musiki
  7. Kativi kidogo
  8. Anga
  9. Miamba
  10. Bahari
   
 13. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #13
  Jan 14, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  nampenda MUNGU NA MWANANGU KIPENZI
   
 14. KWI KWI

  KWI KWI JF-Expert Member

  #14
  Jan 14, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kwenye RED...Naomba zingatia yafuatayo my dear Lizzy
  Kula ya kulazimishwa kweli?-Nenda kawaulize wasomali kule somalia.Inakuwa ya kulazimisha kwa wale wenye uwakika tu wa kesho atakula.

  Mavazi nayo watu wanapenda kweli?ndio maana kuna fasion na style kweli?-Nenda kijiji ''interiors'' singida kwa watindiga uwapelekee yebo yebo au Chupi/Boxer eti imeandikwa ''DIOR'',''D&G'' kama ata wanajua fasion nini.

  Mazoezi:Nina wadogo zangu wako sweeden......wakija hapa Bongo uwa wanawashangaa vijana wenzao wanawezaje kukaa siku nzima bila hata kupiga ''push ups''-You see where am heading here?

  Mabaharia nao kuogelea ni kupenda kweli?Nenda pale DMI Kuna course wanafundishwa kuogelea(i stand to be corrected on this)

  U.SA na nchi nyingine nyingi za maghalibi kutembelea bustani ni part and parcel of their daily life-kama au''walk the dog'' basi ''to get some fresh air''

  Lizzy upo hapo................
   
 15. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #15
  Jan 14, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Ninapenda Diversity iliyoko katika uumbaji wa Mungu.Wote tungekuwa alike life would've been boring..
   
 16. The Bleiz

  The Bleiz JF-Expert Member

  #16
  Jan 14, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 3,643
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  Pesa kwanza mengine mboyoyo tuu.
   
 17. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #17
  Jan 14, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hao unaowaongelea hawawakilishi watu wote, ndio maana kuna sehemu nimeandika wengine wanafanya kwa MAZOEA, wengine UHITAJI na wengine KUPENDA.
  Kijijini hata kama hawavai disigner stuff haina maana hawachagui, nimeishi kijijini NAJUA. Na kuhusu mazoezi mimi NAPENDA kukimbia, sina ulazima wa kukimbia, sikuzoeshwa na mtu I just enjoy it, hapo hapo wapo wanaolazimika kufanya hivyo ili kupungua/kuimarisha mwili na wengine wamezoea tu.

  Ni sawa na kupika tu. . . . kuna watu wanapika kwasababu wanalazimika kufanya hivyo majumbani mwao (hawana ujanja), hata wapishi wa mahotelini wapo wanaopika kwasababu ni kazi na hawaifurahii hata kidogo. Kupika huko huko wapo wanaopenda, mimi nikiwa mmoja wao. Yani hata kama wapo watu wengine wanaweza kupika chakula kizuri tu bado naweza nikaamua kupika mimi kwasababu NAPENDA, na hata baadhi ya wapishi wamejiunga na hiyo fani kutokana na MAPENZI yao juu ya chakula.
   
 18. RUV ACTVIST.

  RUV ACTVIST. JF-Expert Member

  #18
  Jan 14, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 471
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  mungu aniwezeshe watu wanikumbuke kwa matendo mema.
   
 19. patience96

  patience96 JF-Expert Member

  #19
  Jan 14, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 1,187
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Lakini mkuu, kusudio la Mungu hapo mwanzo lilikuwa kuwa binadamu wote tuwe sawa ktk angle zote, so unaposema inge-bore, unamaanisha nini?
   
 20. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #20
  Jan 14, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,723
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  napenda kusali na kufanya yale yanayompendeza Mungu hapa duniani ili kesho niuonje ufalme wa Mbinguni
   
Loading...