wewe ni robot au jini ?
Katika ulivyo'ainisha hapo juu....lazima uweke tofauti kati ya ''human needs'' na ''human wants''Mimi napenda 1.kula 2.kulewa kidogo 3. Kuwa na marafiki wabishi. 4.mazoezi 5.mapenzi 6.kulala sana 7.ubishi 8.matani 9.kuvaa vizuri 10. Kuoga kwa siku mara tatu kama dosi .je wewe unapenda nini ?
Mimi napenda 1.kula 2.kulewa kidogo 3. Kuwa na marafiki wabishi. 4.mazoezi 5.mapenzi 6.kulala sana 7.ubishi 8.matani 9.kuvaa vizuri 10. Kuoga kwa siku mara tatu kama dosi .je wewe unapenda nini ?
Katika ulivyo'ainisha hapo juu....lazima uweke tofauti kati ya ''human needs'' na ''human wants''
1.Kula si kupenda.....ni ''necessity in life''-usipende kula uone unavyo''dhoofu''
2.Pia, level of ''income and life style''-Kuvaa,mazoezi,kulewa,kuogelea kwa watu wengine si vitu vya kupenda...sababu vipo tu amezaliwa amekuta vinamzunguka.....kwahiyo an''adapt/adopt''.
3.Mazingira yana nafasi wakati mwingine katika nini unapenda:mfano unakaa uswazi-vitu kama ubishi ni kitu cha kawaida kabisa.
Mi napenda chakura kilchopikwa na mama (means cha kiafrika), pili MPYOLO
Kwenye RED...Naomba zingatia yafuatayo my dear Lizzy@ Kwi Kwi . . . kwasababu tu kula ni necessity haina maana mtu hawezi kufurahia(enjoy)/penda kula. Kuna watu wasioependa kula, kula yao ni ya kulazimishwa/kujilazimisha na kuna watu wanaofurahia kila kijiko cha chakula wanachoweka mdomoni. . . . Mavazi nayo watu wanapenda na ndio maana kila mtu anavaa mavazi tofauti na watu wengine. Hio ndio sababu ya kuwepo kwa fashion na style za kila aina . . . Kulewa/kunywa pombe watu wanapenda na ndio maana sio kila mtu ni mnywaji/mlevi. Ingekua watu wanafanya kwasababu tu wamekuta wengi wetu tungekua tunakunywa kwasababu tumekuta wakubwa wetu na wengine wanaotuzunguka wanakunywa. . . .Mazoezi/kuogelea/kutembea bustanini/ ni vitu ambavyo wapo wanaofanya kwa mazoea, wengine kwa uhitajina wengine kwa kupenda.
Kwenye RED...Naomba zingatia yafuatayo my dear Lizzy
Kula ya kulazimishwa kweli?-Nenda kawaulize wasomali kule somalia.Inakuwa ya kulazimisha kwa wale wenye uwakika tu wa kesho atakula.
Mavazi nayo watu wanapenda kweli?ndio maana kuna fasion na style kweli?-Nenda kijiji ''interiors'' singida kwa watindiga uwapelekee yebo yebo au Chupi/Boxer eti imeandikwa ''DIOR'',''D&G'' kama ata wanajua fasion nini.
Mazoezi:Nina wadogo zangu wako sweeden......wakija hapa Bongo uwa wanawashangaa vijana wenzao wanawezaje kukaa siku nzima bila hata kupiga ''push ups''-You see where am heading here?
Mabaharia nao kuogelea ni kupenda kweli?Nenda pale DMI Kuna course wanafundishwa kuogelea(i stand to be corrected on this)
U.SA na nchi nyingine nyingi za maghalibi kutembelea bustani ni part and parcel of their daily life-kama au''walk the dog'' basi ''to get some fresh air''
Lizzy upo hapo................
Ninapenda Diversity iliyoko katika uumbaji wa Mungu.Wote tungekuwa alike life would've been boring..