RayB
JF-Expert Member
- Nov 27, 2009
- 2,751
- 196
Tukiwa ndo kwanza tunahang over ya Valentine day, je ulipata zawadi gani toka kwa akupendae?
Anyway hoja kubwa niliyonayo ni kuhusu kadi au message tunazotumiana wakati wa siku za kawaida na hasa siku maalumu kama ya jana. Kwa upande wa SMS utaona message nyingi ambazo mara nyingi huwa zimekuwafowaded. Kwa kifupi unaweza kupata ujumbe ule ule toka kwa watu mbali mbali.
Hivyo hivyo kwa utamaduni wengi wa sisi wabongo siku hizi huwa tunanunua kadi. LAkini kadi nyingi tunazotumiana huwa zinakuwa na maneno tayari. Yaani ndo kusema ukipata kadi leo, maneno matamu yaliyomo humo basi sio ya kutoka katika kichwa au moyo wa aliyekuletea bali ni maneno ya mchapishaji ambayo yule aliyekuletea kayapenda ndo kusema hayako real. Hii ni tofauti sana na kwa wenzetu amnako kadi nyingi huwa zinakiuwa BLANK na mtu huandika maneno yake REAL hapo. Kuna kipindi nilitafuta kadi blank bongo sikufanikiwa kupata kwa haraka kiasi hicho. Vivyo hiivyo kwa SMS.Je tatizo ni nini?
Hoja inakuja je unajisijisikiaje unapopata kadi za namna hiyo? Huwa unazipenda? Binafsi huwa sizipendi na nigependa maneno hata kama ni mawili tu lakini ya ukweli toka kwake. Wewe je unapenda style ipi kati ya hizo?