Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,928
- 183,360
Em sema kweliii?wewe ndo umenivuruga!
Em niwachee mie, mxxxiiiieeeew [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unajiita mjanja na hata cocktail huzijui..[emoji28]
Wakati fanta ipoKama hakina kilevi Cha Nini Sasa?
Basi mie wa shamba mkuu hata sivijui, hapa nipo nasoma Kila kitu nipate elimu kwa wazoefu halafu ntaenda kujaribu 😀Hapana mkuu vitu za kawaida hakuna cha ushua
ungewauliza..Uzi umekuja wakati mzuri sana.
Juzi tu nilikuwa nagugo jinsi ya kutengeneza cock tail na mock tail…Wacha nisubiri wataalamu.
View attachment 3250823
Kuna siku nikajaribu hii, sijui hata walichanganya vitu gani.
Kiglass kidogo tu akili inahama😁
View attachment 3250831
Kitanda kikufuatee😊😊Hapo ukute kuna kamziki kalaini na totozi
😃kulala labda kitanda kinifate hapo.
Noma Sanaa 😊 😅 hii hakuna kwenda toilet 🚽
Hahaha 😂Kitanda kikufuatee😊😊