Unapenda cocktail ama mocktail gani zaidi..?

Unapenda cocktail ama mocktail gani zaidi..?

wewe hufai!, wewe ni lilevi..🤣
cocktail inaingia pombe tano Gin,vodka,rum, triple sec na tequila! we kiboko kwenye sherehe hufai kualikwa utamaliza bohari..😅
Mtengenezaji aliniuliza mbona haulew
Nikamwambia naomba extra strong😅
Ile ya mwisho nikaona sasa inafaa kwenda kulala..
 
Mtengenezaji aliniuliza mbona haulew
Nikamwambia naomba extra strong😅
Ile ya mwisho nikaona sasa inafaa kwenda kulala..
we kiboko hiyo kunywa tano inahitaji nyongo mjongeo...😅
 
Back
Top Bottom