Unapenda chakula gani?

Ugali ndio, najua mabinti wengi hawapendi ugali, watoto wengi hawapendi ugali pia kama nilivyokuwa mimi zamani but siku hizi ndio chakula changu kikuu

M'Jr me napenda ugali mbaya, tena ukinambia nichague kati ya ugal na wal ntachagua ugali.
 
Last edited by a moderator:

teh!! hivi hadi kula kunafundishwa kumbe!!??
Yeah, kwa mfano we unafikiri kwanini kuna vyakula vya kisukuma, vya kihaya, kichagga na kuendelea? Kwasababu kumekuwa na mafunzo ya kula vyakula hivyo na imekuwa inarithishwa kwa kila kizazi. So yes kula chakula fulani kunafundishwa
 
haya ntamtafta mchina anifundishe kula vyakula vyao!!!
 
Back
Top Bottom