Unapenda chakula gani?

Mi napenda chapati na mchuzi wa kuku au samaki yani mwanamke ka hajui kupika chapati huyo hajakamilika (my
opinion tho) :happy:
 
Woooo!!! Ho ho hoooo!!! Hapo umenigusa hadi kunako princess enny...Chakula ninachokipenda sana kuliko vyote katika ulimwengu huu jamani ni nyama...yaani mimi na nyama kama mke na mume...yaani sio siri nyama imeuteka moyo wangu na kuuning'iniza kwenye bulb...Apart from nyama pia napenda vyakula vyote vinavyotengenezwa kwa ngano.
 
Last edited by a moderator:

teh teh teh!!! so hata lilipotokea bonde laufa still uikuwa unakua nyama!!??
 
Bonde la ufa kitu gani...??? kwani aina zote za nyama zitakuwa na bonde la ufa? kama ng'ombe wakipata bonde la ufa nahamia kwa mkuu wa meza...mkuu wa meza wakipata bonde la ufa naamia kwa kitu cha chicken...nao wakipata mafua ya ndege nahamia kwenye wanyama pori...unabugia kitu cha swala...umewahi kula swala wewe?
 
we mkali!! sjawah kula swala mie!! nyama pori zenyewe adim!!
 
Tatizo sio kuwa adimu...tatizo ni jinsi ya kuzipata...babu yangu alikuwa OCD wa mkoa flani na alikuwa muwindaji mzuri sana wa nyama...yaani hizi nyama za porini nimetafuna za kila aina.
 
Back
Top Bottom