Unapenda chakula gani?

karibuni na angalieni mate yasiwatoke!

Gra-Chapati.jpg
Sweet+Potato+%26+Chicken+Soup.jpg
 
hahahahahah M'Jr mi vya asili na enda na vile vya kule kijijini kwa bibi haswa..
Ugali wa Kwante na dansai kwa kikwetu ( au mlenda) na maziwa ya mamahai...:)
Dah afadhali bora hivyo hivi vya kwako vi chicken wings, pronzi, sushi khaaa hayao mi hataaaa afrodenzi
 
Last edited by a moderator:
hakuna chakula nisichokipenda kama ugali, nilivyokuwa mtoto mama yangu amenisimulia nilikuwa n tabia ukipikwa ugali kama ni usiku nakimbilia kulala mapema kama ni mchana naenda kula kwa jirani niko radhi kula wali kila siku lakini co ugali
teh teh teh!!! na ukubwani unafanyaje shosty!!!??
 
Back
Top Bottom