Unapenda chakula gani?

princess enny miye napenda sana ndizi kwa utombo ulochanganywa na nyama duh! uzipate na parachichi la rombo acha matani bana!
Hapo red ndo chakula kupitia mdomo upi? Manake ndizi zaweza tumika kwa mdomo wa juu lakini kuna mabinti wengine wanazitumia kwa mdomo wa chini. Sasa tuambie haswahaswa ulikuwa unamaanisha nini? BTW hujambo gfsonwin wa hommie wangu Kaizer?
 
Last edited by a moderator:
Kitu Noah rosti ndizi kadhaa pembeni! mwisho nyagi ya kusuzia!
Hiyo makitu uchanganye na kiti Guinness ni full burudani...

attachment.php
 
Kitu wali na rost nyama.......swaaafi (sikukuu)

Ugali dagaa wa mchuzi (siku za kawaida)
 
Back
Top Bottom