Atakuwa amekosea ni KIZULU
Hapana Kireno hakipo mdomoni.Hongera Mkuu maana kuwa "polyglot" si kazi rahisi.
Pia utakuwa unazungumza na kireno ?
Shida ziko too local but najifunza France.Duh hongera sana mkuu maana ni lugha nyingi
Teh teh teh.....kwa kifupi hapo shehe unaongea lugha tatu..
Kaka sio google. (Это не гугли), nimekaa moscow miaka saba( я жил в москве семи лет), na nchi za karibu na urusi( и рядом стран)wee ni chizi kwa hiyo umekimbilia Google fasta
Kirrusia kigumuIpi ngumu hapo kati ya hizo?
Nilidhani Polish.Kirrusia kigumu
Vinafanana sana.Nilidgani Polish.
unjan ww total ni mbishi shortly umeelewa sasa unatk makosa ya kiuandishiNdiyo lugha ya wapi hiyo? Sijawahi isikia.
ww ulitak niandikaje basi.hiyo lugha ni ya kolomijeFicha upumbavu wako usifiche hekima zako - Invisible
ughaibun wap pia miak yoote uliwasilian vpKiswahili tu na kimasai,,,lugja yyte ya kigeni sijui kabsaaaaa japo nmeshaishi ughaibun miaka minne
ughaibun wap pia miak yoote uliwasilian vp
Nasema kwa vitendo tu,,ughaibun wap pia miak yoote uliwasilian vp
Lugha za makabila yote Tz kasoro kisukuma!!!??? wewe mkali, hebu tupe kiMasai japo kidogo. Takwenya Kamarah.