Unaombaje penzi kwa Mke/Mwenza wako

Kwa wale tunaoishi na wenza wetu, unaombaje penzi kwa mke/Mwenza wako usiku au muda wowote ukihitaji?

Mi kwangu Simple tu tukiwa kitandani, tumekumbatia au kulala nikimpiga piga paja ile kishkaji pa pa basi anajua jamaa ndio nahitaji mzigo.

Anageuka, romance michezo kadhaa then dushe ndani likacheza na pacha ake. Sijawahi kunyimwa kwa kweli.

Je wewe unaombaje?
Nikimpapasa tu anakuwa mkali
 
Mkuu kwani wewe umeoa lini, wakati kila siku unafanya operation tokomeza bikra pale CBE dom.
 
Nachukuaga hicho kikopo natupia kitandani anakuwa keshaelewa.
Screenshot_20211015-022224.jpg
 
Uzi huu nilivyoina comment ya kwanza nikajisemea hii inachekesha kuliko zote ukija ya pili na tatu unaona ya kwanza haichekeshi
 
Penzi siyo Ombi kwa wanandoa. Tuache uzungu na uhindi. Ni wajibu.

Mimi nikitaka, mkono kiunoni. Anajua mzee hapa anataka huduma.

Nikiwa nimelala, akinishika tu sikio na kunifinya mashavu najua huko kumewaka. Hana haja ya kusema naomba.

Natimiza wajibu. Ni majukumu kama majukumu mengine.
xaw
 
Kwa wale tunaoishi na wenza wetu, unaombaje penzi kwa mke/Mwenza wako usiku au muda wowote ukihitaji?

Mi kwangu Simple tu tukiwa kitandani, tumekumbatia au kulala nikimpiga piga paja ile kishkaji pa pa basi anajua jamaa ndio nahitaji mzigo.

Anageuka, romance michezo kadhaa then dushe ndani likacheza na pacha ake. Sijawahi kunyimwa kwa kweli.

Je wewe unaombaje?
Hahahahahahaha
 
Demu wangu akija akiwa anataka....utaona TU ananiangaliaaa wee afu Kama anakula vidole.....huyu hujiulizi Mara mbali.........Mimi pia nikihitaji nikiita TU "Babe...!!!."afu akiitika sijibu akiniangalia tu tayr shughuli imeisha Ni kunyanduana tu!!!
 
Back
Top Bottom