Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,014
- 144,371
Ugumu mnaopata nyinyi kulipa madeni, ndio huo huo wanaoupata wananchi wa kawaida wenye madeni lukuki kwenye salary slip zao, ila hamkujali mkawaongezea makato ya Bodi ya Mikopo kutoka asilimia 8 mpaka 15 ya Basic salary.
Kwahiyo, leo mnapoomba kupunguziwa madeni, kwa hakika sisi wengine hatuwaelewi na mnatushangaza sana, na tutawelewa iwapo tu na nyinyi mtapunguza kiwango cha makato pamoja na kuondoa ile tozo ya asilimia 6 ya retention fee ya kila mwaka.
Mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu- Waswahili hawakukosea.