LexPaulsen
JF-Expert Member
- Jul 30, 2018
- 337
- 656
DNA haiharibiwi na moto, mabaki kma mifupa na meno yanatosha kabisa kutoa sample ya kufanya DNA Forensics. Hata majivu yanaweza kutoa DNA tests although accuracy ya measurement inaweza kushuka lakin inatosha kupata vipimo vya kufanya ulinganifu(comparison) na ndugu wa marehemu.Poleni na majukumu.
Mtu akiungua kabisa wataalamu wanasema unaweza kumtambua kwa vipimo cha DNA.
Unamtambuaje ndugu yako kwa vipimo vya DNA ?
Naombeni elimu hapa.
Mara nyingi kwa matukio kma haya, jeshi la polisi kuna kitengo cha forensics wanashirikiana na ofisi ya mkemia mkuu wa serikali na hospitali ya taifa muhimbili kufanya vipimo vya DNA.