Unamtambuaje marehemu aliyeungua moto kupitia DNA ?

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,627
Poleni na majukumu.

Mtu akiungua kabisa wataalamu wanasema unaweza kumtambua kwa vipimo cha DNA.

Unamtambuaje ndugu yako kwa vipimo vya DNA ?

Naombeni elimu hapa.
 
Ningependa kuelezea kwa kirefu lakini mi najua katika field nyingine.
Sampuli zitachukulia kwa ndugu wa marehemu wote na sampuli za Marehemu zitachukuliwa...badae watafanya.
1.DNA EXTRACTION
2.DNA amplification (Inaitwa PCR Amplification)
3.PCR product purification
4.DNA sequecing
Baada ya kumaliza sequencing, wata run comparison kati ya marehemu na ndugu.DNA zikifanana kwa asilimia let say 99.99-100 maana yake huyo ni ndugu yako so utamchukua.
Nimesema hii kwa kutumia mfano wa field yangu section ya chakula.
Huko medical sijui km wanaprotocal tofauti
 
Mada nzuri mno ,pamoja ya kuwa mimi sio mtaalam wa DNA nina comments hapa under correctional,hii kitu inawezekana kabisa BUT sio hapa nchini,bila shaka politicians wetu wameshatufanya sisi mazuzu mno,mwili unapokuwa umeungua hasa vibaya ni dental formula pekee inayoweza kusaidia kwa uhakika utambuaji wake,wengi wa wananchi wa nchi zinazojielewa wengi wao rekodi za meno yao zimehifadhiwa na dentist wao au hospital kuu,kwetu hapa hakuna kitu kama hiki,na utambuaji huu vilevile unawezekana kwa kuanza kuchunguza wanandugu wa marehemu ili kuweza kulink na marehemu(its a long process),hadi hapo nchi yetu tutakapoanza kuishi inavyotakikana itasaidia mno,ni vema nchi yetu ikaanza kutoa ID number kwa watoto wote wanaozaliwa na kumbukumbu zao zote ziwekwe kwenye central data systems ya nchi;vile vile skull ni mfupa mgumu mno kuungua kwa hiyo brain inakuwa si rahisi kuharibika na hii pia inaweza saidia utambuaji,BUT dental formula ndio muhimu mno,kama unajiweza plea ongea na dentist wako ili akuhifadhie because we never know nini kitatokea.
 
Mnatakiwa kujua kwanza DNA ni nini na inapatikana wapi kwenye mwili ya binadamu. DNA hupatikana kwenye nucleus ya seli ya kiumbe for this matter, binadamu. Seli ni chembechembe ndogo kabisa na za mwisho katika muundo wa binadamu. Kwa binadamu aliyebaki mwili baada ya kuungua, unakosaje DNA? DNA zipo kwenye mifupa na kwenye kila tissue au organ ya binadamu. DNA itakosekana tu kama kiumbe kimeteketea kabisa kabisa bila mabaki hata kidogo.
 
Nauliza ujinga. Je wamefanyiwa /watafanyiwa 'postmoterm' !?
 
Pole mkuu ndio maana umesema hujui.DNA inapima hata majivu tu.
Yaani hata wewe hapo ukishika kitasa cha mlango ukaondoka utakua umeacha DNA yako pale ikipimwa itaonekana
 
That true kwa sababu binadamu ana seli mabilioni zilizomuunda na mara kwa mara seli za zamani hufa na huondolewa huletwa mpya so inawezekana hilo pia maana pale unakuwa umeacha seli pia zilizokufa bila kujua.
Pole mkuu ndio maana umesema hujui.DNA inapima hata majivu tu.
Yaani hata wewe hapo ukishika kitasa cha mlango ukaondoka utakua umeacha DNA yako pale ikipimwa itaonekana
 
Mnatakiwa kujua kwanza DNA ni nini na inapatikana wapi kwenye mwili ya binadamu. DNA hupatikana kwenye nucleus ya seli ya kiumbe for this matter, binadamu. Seli ni chembechembe ndogo kabisa na za mwisho katika muundo wa binadamu. Kwa binadamu aliyebaki mwili baada ya kuungua, unakosaje DNA? DNA zipo kwenye mifupa na kwenye kila tissue au organ ya binadamu. DNA itakosekana tu kama kiumbe kimeteketea kabisa kabisa bila mabaki hata kidogo.
Nakuunga mkono mkuu,

familia ya raisi wa zamani wa palestina Yaser Arafat pamoja na kwamba alikufa inakaribia miongo miwili sasa ila dugu zake wanampango wa kwenda kufanyia mabaki yake uchunguzi ili kuweza kibaini kwamba kifo cha ndugu yao kilimua cha kawaida au Laa!
 
Pole mkuu ndio maana umesema hujui.DNA inapima hata majivu tu.
Yaani hata wewe hapo ukishika kitasa cha mlango ukaondoka utakua umeacha DNA yako pale ikipimwa itaonekana
Ahsante mkuu kwa kuchangia mada ILA don't play me ,tujadili mada and to be honest nilichangia kuwa under corrections kwa facts SIO kama ulivyonijibu,DNA finger prints inawezekana ila ni lazima iendane na vitu vingine kama damu,swap,ngozi etc etc ,na pia mtoa mada alikuwa anauliza kama miili iliyoungua inaweza tambulika,na hii ndio muhimu kuijibu;kwa nchi yetu HAPANA kwa sababu hatuna rekodi za watanzania zilizorekodiwa na kutunzwa kwenye systems,mfano unapick finger print ya Nkanini,utairun wapi ili inilink na mimi?hii kitu haiwezekani kabisa ndio maana Tanzania tunahitaji kuanza upya katika suala hili la utambuzi,ndio maana kila kukicha tunasikia mtu anaambiwa urai wako una matatizo wakati hatuna uwezo wa kuuthibitisha,marehemu wameshazikwa na uwezekano wa kutambuliwa haupo,nchi mpaka leo hatuna foresinc dept.yenye wataalam na vifaa vya kisasa.
 
Mada nzuri mno ,pamoja ya kuwa mimi sio mtaalam wa DNA nina comments hapa under correctional,hii kitu inawezekana kabisa BUT sio hapa nchini,bila shaka politicians wetu wameshatufanya sisi mazuzu mno,mwili unapokuwa umeungua hasa vibaya ni dental formula pekee inayoweza kusaidia kwa uhakika utambuaji wake,wengi wa wananchi wa nchi zinazojielewa wengi wao rekodi za meno yao zimehifadhiwa na dentist wao au hospital kuu,kwetu hapa hakuna kitu kama hiki,na utambuaji huu vilevile unawezekana kwa kuanza kuchunguza wanandugu wa marehemu ili kuweza kulink na marehemu(its a long process),hadi hapo nchi yetu tutakapoanza kuishi inavyotakikana itasaidia mno,ni vema nchi yetu ikaanza kutoa ID number kwa watoto wote wanaozaliwa na kumbukumbu zao zote ziwekwe kwenye central data systems ya nchi;vile vile skull ni mfupa mgumu mno kuungua kwa hiyo brain inakuwa si rahisi kuharibika na hii pia inaweza saidia utambuaji,BUT dental formula ndio muhimu mno,kama unajiweza plea ongea na dentist wako ili akuhifadhie because we never know nini kitatokea.
Loads of crap
Kaa chini
 
Kwanza tujue ni maana ya cell.

Cell is basic unit of life.

Cell has many parts lkn kuna ambazo ni main including NUCLEUS, kwenye nucleus ndo tunapata DNA .

Kwaiyo kila sehemu ya mwili kuna cells
Mf. red blood cells, white blood cells, sperm cells etc.

Kwaiyo mtu aliyeungua bado unaweza extract DNA kutoka kwenye cells nakuzifanyia sampling.
 
Mtu hata aungue vipi bado kuna uwezekano mkubwa sana kutambulika vinasaba vyake na kuhusishwa na ndugu zake, sababu marehemu wote vinasaba vyao vimeshachukuliwa kwa namba maalum ambazo ndio hizo zimepachikwa kwenye majeneza/makaburi yao

Ndugu wote ambao wameshindwa kuwatambua marehemu wao nao watachukuliwa kila mmoja vinasaba vyao na kisha baada ya vipimo kufanyika watapata majibu yanayoendana na kila mmoja kama vimefanana

Kwa hiyo wewe kama vinasaba vyako vinaendana na marehemu number 23 maana yake huyo ndio ndugu yako

Nimejaribu kuelezea kwa lugha rafiki rahisi kwa yeyote kuelewa.

Hata mummies wale wa ancient Egypt wenye miaka maelfu kwa maelfu walifanyiwa DNA test itakua hawa ambao wengi wao bado walikuwa na hali nzuri zaidi kuwashinda wale mummies.

Inawezekana na ni very simple na Tanzania ina vifaa vya kisasa kabisa hata nchi jirani huleta samples zao kuchunguzwa.
 
Ahsante mkuu kwa kuchangia mada ILA don't play me ,tujadili mada and to be honest nilichangia kuwa under corrections kwa facts SIO kama ulivyonijibu,DNA finger prints inawezekana ila ni lazima iendane na vitu vingine kama damu,swap,ngozi etc etc ,na pia mtoa mada alikuwa anauliza kama miili iliyoungua inaweza tambulika,na hii ndio muhimu kuijibu;kwa nchi yetu HAPANA kwa sababu hatuna rekodi za watanzania zilizorekodiwa na kutunzwa kwenye systems,mfano unapick finger print ya Nkanini,utairun wapi ili inilink na mimi?hii kitu haiwezekani kabisa ndio maana Tanzania tunahitaji kuanza upya katika suala hili la utambuzi,ndio maana kila kukicha tunasikia mtu anaambiwa urai wako una matatizo wakati hatuna uwezo wa kuuthibitisha,marehemu wameshazikwa na uwezekano wa kutambuliwa haupo,nchi mpaka leo hatuna foresinc dept.yenye wataalam na vifaa vya kisasa.
Mkuu, sasa hivi kuna kesi ya Hamisi (sijui vizuri) wa Kigamboni aliyemua mke Naomi kwa kumuunguza hadi majivu. Ina maana serikali imepeleka kutest ya DNA nchi za nje? Natumaini suala la DNA kwa mtu aliyungua nilifanyika hapa Tanzania.
 
Mada nzuri mno ,pamoja ya kuwa mimi sio mtaalam wa DNA nina comments hapa under correctional,hii kitu inawezekana kabisa BUT sio hapa nchini,bila shaka politicians wetu wameshatufanya sisi mazuzu mno,mwili unapokuwa umeungua hasa vibaya ni dental formula pekee inayoweza kusaidia kwa uhakika utambuaji wake,wengi wa wananchi wa nchi zinazojielewa wengi wao rekodi za meno yao zimehifadhiwa na dentist wao au hospital kuu,kwetu hapa hakuna kitu kama hiki,na utambuaji huu vilevile unawezekana kwa kuanza kuchunguza wanandugu wa marehemu ili kuweza kulink na marehemu(its a long process),hadi hapo nchi yetu tutakapoanza kuishi inavyotakikana itasaidia mno,ni vema nchi yetu ikaanza kutoa ID number kwa watoto wote wanaozaliwa na kumbukumbu zao zote ziwekwe kwenye central data systems ya nchi;vile vile skull ni mfupa mgumu mno kuungua kwa hiyo brain inakuwa si rahisi kuharibika na hii pia inaweza saidia utambuaji,BUT dental formula ndio muhimu mno,kama unajiweza plea ongea na dentist wako ili akuhifadhie because we never know nini kitatokea.

Wazo zuri sana!
 
Back
Top Bottom