Utanisamehe sana ka ninaonekana ka mtu anayebishana na weye. Katika maelezo yako naona kuna vitu 2 au 3 unaviweka kwenye kapu moja. There is a diference betwenn Forensic investigation and DNA test. Pia kuna tofauti ya Police investigation and Lab test for DNA.No Mkuu ninaposema kuwa ninachangia chini ya usahihisho sina maana kuwa sina kabisa knowledge ya issue hii,dunia ya sasa ukiwa mpenda kusoma kama mimi ,ni rahisi kupata informations cha kitu chochote kile,kuanzia google hadi majarida mbalimbali,please don't undermine me,Tanzania yetu hii ambayo Mwenyezi Mungu amenipa Baraka za kushughudia awamu zote za uongozi ndani ya nchi yetu hadi leo sijawahi kusikia wapi ilipo Foresinc Lab inayoendeshwa na jeshi letu la polisi,sijawahi kuwaona wataalam wa foresinc wakikusanya samples za evidence katika crime scenes,na mmoja wetu lazima ataongelea maabara ya mkemia mkuu wa serikali!!,jeshi la polisi lilitakiwa liwe na maabara yake ili kukusanya ushahidi wa kupelekwa mbele ya court;tukio la kigamboni(Mungu amlaze pema yule mama yetu aliyechomwa moto na mme wake)sikuona wala kushuhudia picha za wataalaam wetu wakichukua sample,na bila shaka lile eneo lilikuwa tayari limeshaingiliwa mno hadi kupoteza ushahidi muhimu,na kukiri kwa mme kumetokana zaidi na mateso kutoka polisi(na tuelewe ushahidi unaopatikana kwa njia hii,na ikathibitishwa suspect aliteswa,court always inatupilia mbali),its time polisi wetu watumie techonology katiak sgughuli zao sio mateso na vitisho.DNA ya utambuzi kwa Tanzania bado sana.
Ni hivi; Kama kumetokea a crime mahali fulani; Let's say mtu ameuliwa kwa kugongwa na gari au kitu kizito, nchi zilizoendelea huja na forensic experts wana mwaga madawa yao na kuona tendo lile lilivyofanywa. Sasa hawa ndo huchukua vitu vyao vya kuweza kuwapatia DNA ya huyo mhusika yaaani aliyeuliwa na muuaji. Wataenda chunguza vinasaba vinavyokutwa juu ya mwili au nguo ya victim na kuona kama muuaji aliacha alama gani juu yake. Vinavyookotwa hapo ni vitu kama; Sperms, nywele zozote tofauti na za victim, damu, kuchungi cha sigara ili wapate mate ya culprit, hata kipande cha nguo tofauti na ile ya victim.
Katika vitu hivyo, utapata DNA ya huyo victim na culprit. Huo ndo utaalam wa uchunguzi kwa wenzetu. Huku kwetu, DNA huchunguzwa kwa wazazi tu kuona ka kichanga hiki ni cha kwako kweli kama mwanamke huyo ni kicheche ukaogopa usije lea mtoto wa mwingine.
Ikifika mahali Polisi wanataka kutumia DNA nadhani ni hatua ndeefu sana ambayo wanaona ni ya kusumbua ndo maana wanamminya kengele zake hadi anaitikia; Yes mwalimu. Kitu ambacho, sio haki ndo maana mahakama huukataa ushahidi ka huu