Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 16,043
- 7,477
Sinema ya kumtoa bungeni arejee Mtaani kuisadia kamati ya Bunge kuzichakachua kumbukumbu zote za infosys na Lugumi waonyeshe kuwa hakuhusika na chochote kile, kisha aje apewe cheo tena kama profesa Muhongo.
Mbe umeisoma hii.
Lakini Lugumi imemchafua Magu vibaya sana. Na anaonekana yupo busy kuficha huo uchafu